Uwe unafuatilia mambo ya msingi ndio utaelewaRaia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekeza na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Alikuwa kibubu cha viongozi wenu wabadhirifu wa mali za umma
Maneno matupu tu hayo, hakuna lolote tusidanganyane
Longolongo na sengereti ,haujaona wamasai walifukuzwa na kwenda kujengewa nyumba Tanga?Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekeza na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?
Kwa hiyo wewe unadhani alikuja ikulu kufuata nini?Maneno matupu tu hayo, hakuna lolote tusidanganyane
Huyo jamaa hajawahi kueleweka kwa hio zile issue za kuwatimua Wamasai engineer mkuu wa yale yote alikua ni yeye unataka kusema hivyo?
Kwani sababu za kufurushwa masai Serikali haikuweka wazi?Huyo jamaa hajawahi kueleweka kwa hio zile issue za kuwatimua Wamasai engineer mkuu wa yale yote alikua ni yeye unataka kusema hivyo?
Mliambiwa na nani? Habari za uzushi zinazeesha akili.Hiyo tuliambiwa ni warabu wa Dubai
Sababu kuweka wazi ipi hio ya kutoa billion 540 au?Kwani sababu za kufurushwa masai Serikali haikuweka wazi?
Hata nikikueleza huwezi kuelewa haya mambo wewe bado bwana mdogo , ukikua utaelewaKwa hiyo wewe unadhani alikuja ikulu kufuata nini?
Tuelezee bro, mi nliona tu kakaa ikulu kama kakaa geto na kumbato juu.Kwa hiyo wewe unadhani alikuja ikulu kufuata nini?
Hakuna uwekezaji hapo huyu hushirikiana na serikali za wezi kupora rasilimali za nchi za kiafrika.hawa hununua Vitalu kuua wanyama wetu na kusafirishwa nje ya nchi kwa kushirikiana na wezi wengine wa Afrika .jpm ujinga huu hakuitaja kuusikia kabisa masikioni mwake.Uwe unafuatilia mambo ya msingi ndio utaelewa
View: https://www.instagram.com/p/DaD5fXuj0cb/?stkn=bDBmZW90ZnJuazJw
Rais Samia anatuuzaHakuna uwekezaji hapo huyu hushirikiana na serikali za wezi kupora rasilimali za nchi za kiafrika.hawa hununua Vitalu kuua wanyama wetu na kusafirishwa nje ya nchi kwa kushirikiana na wezi wengine wa Afrika .jpm ujinga huu hakuitaja kuusikia kabisa masikioni mwake.
Mama Samia na Katibu Mkuu Serikalini wanajua, ulisa hao!Raia wa Tanzania akiulizwa swali billionea Wicknell Chivayo alikuwa muwekezaji wa kitu gani Tanzania hawezi kujua tofauti kabisa na mabillionea wengine kama Dangote wanajulikana ni wawekeza na ajira walizozalisha kwa watanzania zinajulikana.
Billionea Chivayo alikuwa na viwanda wapi, alikuwa ametoa ajira ngapi na serikali ilikuwa inapata kodi kiasi gani?