Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Today's Sunday.
Kwa wale wakristo wenzangu,tofauti na wenzetu Sabbath
Leo ni siku ya kuabudu .
Ikiwa ni kushukuru na kumuomba Mungu aweze kututengenezea mapito imara , Mungu ni mkuu atanyoosha mapito yetu na kutushushia neema na baraka,hakika ukiomba kwa haki na dhati utabarikiwa.
ANGALIZO.
MUNGU haumwi,
Hajawahi kuhitaji kula,
Hajawahi kuwa na mpango wa kukufilisi wewe,
Amekuumba wewe ili umtumikie tu basi .
Mchungaji, Padre,askofu n.k ni watu tu hawana karama wala neno lolote lenye kukuponya badala yake ni viongozi kwaajili ya kuweka setup au mpangilio kwenye ibada na huduma husika.na kusanyiko lenu ni muhimu kama ilivyo andikwa walipo wawili au watatu mimi nipo katikati yao.
Usimuamini mchungaji kiasi cha kumkufuru Mungu muumba mwenye haki, muheshimu mchungaji kama wanavyoheshimiana wanajeshi kulingana na rank zao
Hivyo basi michango na matoleo yenye kuumiza na kunyanyasa kuwa makini nayo, wewe ni muumini (muamini) siyo ng'ombe kwamba unapelekwa tu kama hujielewi.
Tangu zamani makanisa yalitegemezwa Kwa michango ndiyo,lakini siyo kutishwa na kukamuliwa ikiwa utainyima familia baadhi ya mahitaji na kujikuta unaumia moyo.
Fanya vitu Kwa uwezo wako