Kwahiyo Ibrahim alivyoelekea kumchinja Isaka, huoni aliumiza familia yake? Hoja siyo kutoa vyote mpaka familia ilale njaa hapana, hoja ni kutoa kitu kizuri.
Ukiwa na milioni moja, ukatoa sadaka elfu kumi, na mtu mwenye kipato cha elfu kumi, akatoa sadaka elfu mbili, huyo aliyetoa elfu mbili katoa kubwa kuliko wewe ukiyetoa elfu kumi, yaani milioni yote hiyo unatoa elfu kumi yaani only one percent? Aliyetoa elfu mbili katoa 20 percent ya kipato chake.
fact ni kwamba Ibrahim hakuwa mkristo. Na wala hakuwai kwenda kanisani hata siku moja.
Wakristo maana yake ni wafuasi wa yesu kristo.
Ibrahim aliishi na kufariki miaka 2000 kabla ya yesu kuzaliwa