Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 3,140
- 5,739
Si muumini wa dini hiyoHujawahi kukumbana na hayo madhila
Si muumini wa dini hiyoHujawahi kukumbana na hayo madhila
Hicho ndo kinachoniumiza kichwaW
Watakutenga na huduma za kiroho watakunyima siku ukizihitaji
Huyo Mungu alimwambia huyo Ibrahim lini? Mwaka gani?Mungu alimwambia Ibrahim kuwa amchinje mwanae amtoe sadaka, sasa ukitazama unakuta alikuwa na mtoto mmoja tu aliyempata kwa shida, maana yake Mungu anahitaji sadaka iliyo bora, unatakiwa utoe sadaka nzuri siyo utoe chenchi, kama huna kipato sawa ila kama vya kutoa vipo toa kilicho bora.
Mkienda kwa waganga wa kienyeji kwaajili ya shida za kipumbavu tu mnatoa hadi mamilioni, eti mnaroga ili fulani asipate kazi. Pia pombe mnazungusha meza hadi mnalipa laki mbili kwa siku moja, muchepuko yenu mnainunulia simu kali na kuhonga juu, lakini mkija kanisani mnatoa sadaka buku mbili, inamaana Mungu ndo mnamdharau hivyo?
Kwenye mambo ya kipumbavu mbona mnatoa hela nyingi hamlalamiki? Unabeti unaliwa laki moja, ulilalamika wapi?
Sasa mtu unayetoa sadaka buku mbili, ndo itasomesha mtoto wa mchungaji kama mnavyojinasibu? Kwa taarifa yenu wenye kumiiliki hela nyingi wanatoa mamilioni ya sadaka mpaka wanazidi kubarikiwa, na ndo hayo yanayonunua magari ya wachungaji na siyo buku mbili yako uliyotoa ambayo hata mafuta lita moja haitoshi.
Na wengi wanaolalamika sadaka, ni masikini tu, wanatoa kichoyo ndomaana Mungu hawabariki, ila wenye pesa huwezi kusikia wana hizo kelele, mindset za kimasikini ndo zinazowatafuna.
Basi vumilia na endelea kutoa michangoHicho ndo kinachoniumiza kichwa
Tutafanyaje Sasa na tunataka kuzikwa na kanisaBasi vumilia na endelea kutoa michango
📌🔨Fanya vitu Kwa uwezo wako
Akili kubwa hii..Today's Sunday.
Kwa wale wakristo wenzangu,tofauti na wenzetu Sabbath
Leo ni siku ya kuabudu .
Ikiwa ni kushukuru na kumuomba Mungu aweze kututengenezea mapito imara , Mungu ni mkuu atanyoosha mapito yetu na kutushushia neema na baraka,hakika ukiomba kwa haki na dhati utabarikiwa.
ANGALIZO.
MUNGU haumwi,
Hajawahi kuhitaji kula,
Hajawahi kuwa na mpango wa kukufilisi wewe,
Amekuumba wewe ili umtumikie tu basi .
Mchungaji, Padre,askofu n.k ni watu tu hawana karama wala neno lolote lenye kukuponya badala yake ni viongozi kwaajili ya kuweka setup au mpangilio kwenye ibada na huduma husika.na kusanyiko lenu ni muhimu kama ilivyo andikwa walipo wawili au watatu mimi nipo katikati yao.
Usimuamini mchungaji kiasi cha kumkufuru Mungu muumba mwenye haki, muheshimu mchungaji kama wanavyoheshimiana wanajeshi kulingana na rank zao
Hivyo basi michango na matoleo yenye kuumiza na kunyanyasa kuwa makini nayo, wewe ni muumini (muamini) siyo ng'ombe kwamba unapelekwa tu kama hujielewi.
Tangu zamani makanisa yalitegemezwa Kwa michango ndiyo,lakini siyo kutishwa na kukamuliwa ikiwa utainyima familia baadhi ya mahitaji na kujikuta unaumia moyo.
Fanya vitu Kwa uwezo wako
Sina muda wa kujadili na mtu kama weweHuyo Mungu alimwambia huyo Ibrahim lini? Mwaka gani?
Au mnaaminishana stori za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule?
Kama huna muda, ulicho hangaika kuni quote ni nini?Sina muda wa kujadili na mtu kama wewe
Nilikuwa sijui kama huamini dini, so utanipotezea muda wangu wa thamaniKama huna muda, ulicho hangaika kuni quote ni nini?