Nendeni makanisani ila kuweni makini na muwe timamu


fact ni kwamba Ibrahim hakuwa mkristo. Na wala hakuwai kwenda kanisani hata siku moja.

Wakristo maana yake ni wafuasi wa yesu kristo.

Ibrahim aliishi na kufariki miaka 2000 kabla ya yesu kuzaliwa
 
Kwani Ibrahimu huyo mtoto wake alikuwa anamtolea Mchungaji au Mungu?

Tatizo la siku hizi hao wanaojiita watumushi wa Mungu au manabii wanajifanya wao ndio Mungu na ndio wanataka tuwapelekee sadaka badala ya kuwaelekeza waumini kusaidia masikini na wenye uhitaji.

Mimi binafsi tokea nijue hii siri ya utoaji wa sadaka ya kweli wala sipati tabu na Neema za Mungu humiminika juu yangu na familia yangu kila siku.

Kama unataka kupata baraka za Mungu basi toa sehemu ya kipato chako na saidia masikini.
 
Jack
Matapeli wamekutana hapa wote wajanja watupu.

View: https://vt.tiktok.com/ZSrjgr17L/
 
Utoaji wa kibiblia ni wa moyo wa kupenda, hupaswi kulazimishwa, unatoa kwa hiari yako mwenyewe.
 
Kanisani kwetu kuna sadaka inaitwa stahiki za watumishi yani kwa ufupi ni kwamba ni sadaka kwa ajili ya mishahara yao.
 
Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.
2 Wakorintho 9:7
 
Naitwa Nabii GOJAGA NIZE, ninalo neno la baraka kwa ajili ya washirika wote mliomo humu ndani.

Nina ununuzi wa gari langu Kama Nabii, kwa ajili ya huduma.

Nakuombea Baraka za Mungu wewe yeyote utakayeguswa kuchangia either half the price, quarter or Full utabarikiwa sana.

Gharama ya gari ni Mil 25.

Karibu inbox kwa mchango wako.

Kwa anayehitaji maombi ya jambo lolote linalo kusumbua, hapa ndio mwisho wa Hilo tatizo, Yesu wangu hajawahi kushindwa na majibu ni ya papo kwa papo.

Mwisho, vijana mnaohitaji kazi au Wale mnaohitaji wachumba pia nawakaribisha kwa maombi maalumu ya kupata mchumba wa ndoto zao.

Amen!
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…