Nendeni makanisani ila kuweni makini na muwe timamu

Huyo Mungu alimwambia huyo Ibrahim lini? Mwaka gani?

Au mnaaminishana stori za vitabuni zisizo na uthibitisho wowote ule?
 
Akili kubwa hii..
 
Mnaenda kuomba ujinga tu
Na umasikini utabaki palepale wazembe nyinyi
Fanyeni kazi, au tafuteni hela,
Mnaenda kujifariji na umasikini wenu, ndio maana mnageuka wachawi na hizi imani zenu za kijinga, mkiona watu wamejikomboa kwenye umasikini kwa kudhani wanatumia uganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…