Nenga ana roho ngumu sana. Mimi siwezi kuachwa na mwanamke achumbiwe na mwingine, halafu baadaye anirudie nimuoe

Nakazia kwa herufi KUBWA..!
 
Mtu anaetumia dozi hua ngumu kuambukiza viral load yake inakua ipo chini
 
Mimi nina Swali Moja tu Kwao Wanandoa hawa je, walipima VVU na Kujiridhisha 100% na Matokeo ya Vipimo? Nimesikitika sana, ila naomba tu niishie hapa tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Genta bhana, uwiiiih
 
Everything has a price to pay.
Congratulations Bill Bass you made the right choice
 
Everything has a price to pay.
Congratulations Bill Bass you made the right choice
Price zingine zinahitaji kujitoa ufahamu. Yaani mtu akuteme, akajibebishe kwa mwingine kisha apigwe miti ya kutosha mpk ajengewe nyumba. Mungu afanye take huko ndipo anirudie???!
 
wataachana tu, mlete huyo na wewe kwa pamoja halafu muone nani ataolewa Mimi au nyinyi.
Kumbe unatafuta kuolewa kupitia kumkandia nandyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani uko kooote muoaji hajakuona aje akuonee hapa,, endelea kudanga, mwenzio yuko honeymoon
 
Je! Ujio wa kofiolomide haukuimarisha zaidi uhusiano wa wa wanandoa hao?
 
Waswahili ndiyo zeu kuoa makayamba. Huku kwetu na pwani, sifa ya mwanamke ni kuwa na VYUO vingi , aliyekubuhu, limeachwa mara kama tano halafu unaoa ndiyo zenu!
"Kushaba Eshabile"
"Okushwela enyahilya". Mambo ya waswahili hayo.
 
Yaani sasa hivi maisha yao yapo katika sport light kuliko mwanzo...mfano wakipatwa na baya kuna watu watasema nilijua tu
 
Price zingine zinahitaji kujitoa ufahamu. Yaani mtu akuteme, akajibebishe kwa mwingine kisha apigwe miti ya kutosha mpk ajengewe nyumba. Mungu afanye take huko ndipo anirudie???!
Huwezi jua mipango yao ilikuaje mzeiyaa. Nass mtt wa kili ukute alikubali kiroho safi akimwambia bibie akiwa anaparua huko awe anatuma tu kwenye mpesa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…