Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilikosana na mpe

Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilikosana na mpenzi wangu baada ya kuona msg niliyotumiwa na rafiki yangu wa kike iliyoandikwa "mambo dear".
Alikasirika as if ni msg kutoka kwa mwanaume, sikuelewa
Kama lipo normal kwann Mwanaume huwezi mwambia... "Mambo Dear" why?
 
Huku Arusha umuite Mwanaume Mwenzako Dear lazima aone kuna Kasoro Flani hivi halafu sio kila Neno la kiingereza unalitumia kwenye kiswahili
 
Hao ni ndugu inaeleweka.
Tembea ujionee, jaribu kutoka hata nje ya Tanzania itakusaidia nchi za Africa utanielewa, mfano pasi kwa kimombo inaitwa pressing iron hutamkwa hivi pressing ironi na siyo pressing iani
 
Really
 
Una hoja usikilizwe.
binafsi pia huwa nikilisikia hilo neno, najawa na simanzi
 
Hata mimi nalitumia hivyo
 
Tembea ujionee, jaribu kutoka hata nje ya Tanzania itakusaidia nchi za Africa utanielewa, mfano pasi kwa kimombo inaitwa pressing iron hutamkwa hivi pressing ironi na siyo pressing iani
Nipo hapa bongo naongea na wabongo wenzangu, sidhani kama natakiwa kutoka nje ya nchi ili nikaige taratibu za mataifa mengine.
 
Huku Arusha umuite Mwanaume Mwenzako Dear lazima aone kuna Kasoro Flani hivi halafu sio kila Neno la kiingereza unalitumia kwenye kiswahili
Sasa shangaa kuna midume hapa inaona sawa kuitwa dear na wanaume wenzake
 
Asante.
Haya bwana ngoja nianze kuzoea😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…