Neno HAKI limeanza kutawala midomoni mwa watawala, alianza Rais Samia, kafuata IGP na leo nimemsikia Kinana

kama ni kufungwa basi ufungwe kwa kuwa kweli umetenda kosa sio kwa kubambikiziwa kesi.
Ni Nani anayepaswa kuthibitisha kuwa una kosa na unapaswa kufungwa?

Je, ukiwauliza wafuasi wa Mbowe, Gwajima ( Askofu ), Mfalme Zumaridi, Magufuli, Zitto au Mwingira hata kama wameua hadharani mchana Kariakoo,

Unadhani ipo siku watakiri kuwa MTU WAO kweli Ni MKOSAJI na anastahili hukumu watakayopewa?
 
Haki ni neema itokayo kwa Mungu wa mbinguni pekee!
Kweli kwa asilimia 100 haki ambayo hata Sirro anaizungumzia ni haki gani hiyo? Tanzania Hamna haki na haitakuja kuwepo tusiwe wepesi kudanganywa. Sirro anasema Kuna opersheni ya usalama barabarani sijui inaanza subirini mtakuja kuona utakuwa ni ubabe na uonevu kwa kwenda mbele kweli naililia nchi yangu Tanzania
 
Sirro anachanganya kati ya Haki na Wajibu

Haki ni ya Mungu wa mbinguni.

Wajibu ndio hutolewa na sheria za Wanadamu kama hizo za mapolisi.
 
Hamna haki huko, haki kwao Kama hujagusa maslahi. Si unaona waliowapinga walivyoshughulikiwa
 
Hii aisome kwa umakini johnthebaptist, hasa sentensi ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…