TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Na kuiheshimu, kuisimamia kwa umakini.Katiba mpya ndiyo italeta haki ya kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuiheshimu, kuisimamia kwa umakini.Katiba mpya ndiyo italeta haki ya kweli.
Katiba mpya ndiyo italeta haki ya kweli.
Haki ni nini na Neema ni nini?Haki ni neema itokayo kwa Mungu wa mbinguni pekee!
Unataka katiba mpya?Na kuiheshimu, kuisimamia kwa umakini.
Ni Nani anayepaswa kuthibitisha kuwa una kosa na unapaswa kufungwa?kama ni kufungwa basi ufungwe kwa kuwa kweli umetenda kosa sio kwa kubambikiziwa kesi.
Neema ni upendeleo tuliopewa Wana Wa Mungu na hiyo ndio Haki ya Mungu!Haki ni nini na Neema ni nini?
Kweli kwa asilimia 100 haki ambayo hata Sirro anaizungumzia ni haki gani hiyo? Tanzania Hamna haki na haitakuja kuwepo tusiwe wepesi kudanganywa. Sirro anasema Kuna opersheni ya usalama barabarani sijui inaanza subirini mtakuja kuona utakuwa ni ubabe na uonevu kwa kwenda mbele kweli naililia nchi yangu TanzaniaHaki ni neema itokayo kwa Mungu wa mbinguni pekee!
Sirro anachanganya kati ya Haki na WajibuKweli kwa asilimia 100 haki ambayo hata Sirro anaizungumzia ni haki gani hiyo? Tanzania Hamna haki na haitakuja kuwepo tusiwe wepesi kudanganywa. Sirro anasema Kuna opersheni ya usalama barabarani sijui inaanza subirini mtakuja kuona utakuwa ni ubabe na uonevu kwa kwenda mbele kweli naililia nchi yangu Tanzania
Sheria inayolenga kutoa haki kwa wote sawia na kwa usawa, bila ya chuki wala ubaguziHuwezi kuipata Haki kwenye uchaguzi bwashee.
Pale inatakiwa sheria ndio itawale
Na haki ya binadamu ni ipi.Neema ni upendeleo tuliopewa Wana Wa Mungu na hiyo ndio Haki ya Mungu!
Sheria inatoa wajibu siyo Haki.Sheria inayolenga kutoa haki kwa wote sawia na kwa usawa, bila ya chuki wala ubaguzi
Kuishi kwa mujibu wa maandiko matakatifu!Na haki ya binadamu ni ipi.
Na wasio amini maandiko matakatifu (Quran na Biblia) haki yao wataipata wapi.Kuishi kwa mujibu wa maandiko matakatifu!
Kufuata sheria ndio haki yenyewe, au wewe unadhani haki inashuka toka mbinguni?Huwezi kuipata Haki kwenye uchaguzi bwashee.
Pale inatakiwa sheria ndio itawale
Hii aisome kwa umakini johnthebaptist, hasa sentensi ya mwishoJustice (Haki), in its broadest sense, is the principle that people receive that which they deserve, with the interpretation of what then constitutes "deserving" being impacted upon by numerous fields, with many differing viewpoints and perspectives, including the concepts of moral-correctness based on ethics, rationality, law, religion, equity and fairness.
Kwenye katiba na sheria za nchi . Nazo ziwe za kweliNa wasio amini maandiko matakatifu (Quran na Biblia) haki yao wataipata wapi.
Bwashee rilaxx, kwani watu huenda mahakamani kudai wajibu au haki?Sheria inatoa wajibu siyo Haki.
Hao watapata Wajibu kutoka kwa wanadamu!Na wasio amini maandiko matakatifu (Quran na Biblia) haki yao wataipata wapi.