Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sijui
Unaonaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje?
Hakika, Isaya 54:17Haki ni neema itokayo kwa Mungu wa mbinguni pekee!
Yoote haya yatasemwa tuu! Tiba inabakia kuwa KATIBA KATIBA Mpya.“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu.
“Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI. Tumepitia madhila mengi, hakuna haja ya kuyarudisha mara kwa mara, badala yake tunapaswa kusonga mbele na kuwa na siasa safi na kuiunga mkono serikali”.- Freeman Mbowe.
“Mimi ndio mkuu wa jeshi la polisi leo nyie ni polisi kesho sio polisi lazima muwaheshimu watu na mtende HAKI kuna makosa mengine ya trafiki mweleweshe mtanzania mwenzako sio lazima kila kosa umuweke mahabusu”. - IGP Sirro.
“Kila mtu awe na HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa na HAKI ya kutoa mawazo. Lazima wanachama wawe huru kutoa mawazo na hakuna mwenye hati miliki ya mawazo. Tukiweza kuimarisha HAKI ndani ya CCM tutakuwa tumeimarisha hadi nje kwenye maeneo mengine " Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana.
Hiyo ni katiba iliyotengenezwa na binadamu.Mkuu umeambiwa relax naona umechoka, soma katiba inavyotenganisha haki na wajibu.
SEHEMU YA TATU: HAKI NA WAJIBU MUHIMU
Haki ya Usawa
12.Usawa wa Binadamu.
13.Usawa mbele ya sheria.
Haki ya Kuishi
14.Haki ya kuwa hai.
15.Haki ya uhuru wa mtu binafsi.
16.Haki ya faragha na ya usalama wa mtu. 17.Uhuru wa mtu kwenda atakako.
Haki ya Uhuru wa Mawazo
18.Uhuru wa maoni.
19.Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo. 20.Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine. 21.Uhuru wa kushiriki shughuli za umma.
Haki ya Kufanya Kazi
22.Haki ya kufanya kazi.
23.Haki ya kumiliki mali.
24.Haki ya kupata ujira wa haki.
Wajibu wa Jamii
25.Wajibu wa kushiriki kazini.
26.Wajibu wa kutii sheria za nchi.
27.Wajibu wa Kulinda mali ya Umma.
28.Wajibu kwa Ulinzi wa taifa.
Unadhani kwanini Rais akiapa atashika ama Biblia au Quran?Ndio inatoa haki kwa kutafsiri hizo sheria, kwani aliyeivunja sheria amemnyima mwenzie haki yake, kama haki ingekuwa inatoka kwa Mungu pekee, basi Biblia na Quran ndio vingekuwa Katiba zetu.
“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu.
“Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI. Tumepitia madhila mengi, hakuna haja ya kuyarudisha mara kwa mara, badala yake tunapaswa kusonga mbele na kuwa na siasa safi na kuiunga mkono serikali”.- Freeman Mbowe.
“Mimi ndio mkuu wa jeshi la polisi leo nyie ni polisi kesho sio polisi lazima muwaheshimu watu na mtende HAKI kuna makosa mengine ya trafiki mweleweshe mtanzania mwenzako sio lazima kila kosa umuweke mahabusu”. - IGP Sirro.
“Kila mtu awe na HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa na HAKI ya kutoa mawazo. Lazima wanachama wawe huru kutoa mawazo na hakuna mwenye hati miliki ya mawazo. Tukiweza kuimarisha HAKI ndani ya CCM tutakuwa tumeimarisha hadi nje kwenye maeneo mengine " Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana.
Mahakamani wanaenda kupata tafsiri ya sheria zilizotungwa na bunge la wanadamu.Kama duniani hakuna haki wale wanaoenda mahakamani huenda kutafuta nini? usiniambie tena wajibu!.
Au unataka mtu akinyimwa haki yake (kuvunjiwa sheria na mwingine) aende kanisani au msikitini kupiga magoti?
Mkuu 'Tindo',
Nimesoma yanayodaiwa kusemwa na IGP Sirro hapo mwanzo wa mada, juu ya HAKI, nikatikisa kichwa kabisa!
Mtu asiyejuwa yaliyotokea chini ya uongozi wa huyu mtu wa jeshi la polisi, akisoma matamshi hayo, atasifu sana jinsi jeshi letu lilivyo na uongozi imara.
Lakini sote tupo hapa. Ni nani asiyejuwa namna ya jeshi letu la polisi lilivyogeuzwa kuwa chombo cha kukandamiza wananchi! Leo ukisikia maneno matamu hayo ndiyo yakufanye kusahau kila kitu?
Huu ni mfano tu wa huyo mmoja, Sirro. Hao wengine na wao hawana tofauti yoyote naye.
“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu.
“Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI. Tumepitia madhila mengi, hakuna haja ya kuyarudisha mara kwa mara, badala yake tunapaswa kusonga mbele na kuwa na siasa safi na kuiunga mkono serikali”.- Freeman Mbowe.
“Mimi ndio mkuu wa jeshi la polisi leo nyie ni polisi kesho sio polisi lazima muwaheshimu watu na mtende HAKI kuna makosa mengine ya trafiki mweleweshe mtanzania mwenzako sio lazima kila kosa umuweke mahabusu”. - IGP Sirro.
“Kila mtu awe na HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa na HAKI ya kutoa mawazo. Lazima wanachama wawe huru kutoa mawazo na hakuna mwenye hati miliki ya mawazo. Tukiweza kuimarisha HAKI ndani ya CCM tutakuwa tumeimarisha hadi nje kwenye maeneo mengine " Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana.
POLESheria inatoa wajibu siyo Haki.
Wote wanafanya posturingNi maigizo kama maigizo mengine
They don't mean what they say....
Msiwe wepesi kuamini yatokayo midomoni mwa watawala
Leo mnaamini maneno ya kinywa cha mtesi ciro [emoji849]
Rais anaapa kwa kutumia biblia au quran lakini akishaingia madarakani anatumia Katiba ya nchi kuongoza, hiyo ndio inatoa muelekeo wa nchi na wale wanaoongozwa ili waongozwe kwa usawa na hapo ndipo haki inapopatikana.Hiyo ni katiba iliyotengenezwa na binadamu.
Pius Msekwa na wenzake 20.
Katiba haitoi Haki inatoa wajibu ndio sababu watu 20 waliwapangia watu milioni 60 namna ya kuishi!
Unadhani kwanini Rais akiapa atashika ama Biblia au Quran?
Nakuhakikishia mahakama haina jukumu la kutoa haki.
Hata mahakama ya kanisa katoliki haitoi haki.
Kumbe unaelewa.Rais anaapa kwa kutumia biblia au quran lakini akishaingia madarakani anatumia Katiba ya nchi kuongoza, hiyo ndio inatoa muelekeo wa nchi na wale wanaoongozwa ili waongozwe kwa usawa na hapo ndipo haki inapopatikana.
Kwahiyo mahakama ikisha tafsiri sheria Mungu anakuja kutoa haki.Mahakamani wanaenda kupata tafsiri ya sheria zilizotungwa na bunge la wanadamu.
Mahakama haitoi haki na siyo jukumu lake!
Haki haihitaji Mungu aje atoe bali iko tayari kwa walio wake.Kwahiyo mahakama ikisha tafsiri sheria Mungu anakuja kutoa haki.
Bwashee wewe ni kichwa ngumu sikujua, hamna ulichonielekeza hapo.Kumbe unaelewa.
Biblia na Quruan ndio zimebeba Haki
Katiba ni mama wa sheria za kutawala!