secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Lazima CCM watafanya namna......., chadema kweli wawe macho.Huu moto wa CHADEMA umepeleka hofu kubwa ccm.. Hii isije ikawa ni mbinu ya kupenyeza hao ndumilakuwili
Lazima CCM watafanya namna......., chadema kweli wawe macho.Huu moto wa CHADEMA umepeleka hofu kubwa ccm.. Hii isije ikawa ni mbinu ya kupenyeza hao ndumilakuwili
Wenje ni bomu Hata Mbowe ni bomu. Bora useme Halima Mdee na Catherine.Imagine unasikia mtu kama Wenje na wale mamluki wa Chaumma eti nao wanarejea kwenye chama! Itakuwa ni kukaribisha tu vurugu.
Viongizi wa Chadema wanatakiwa wawe makini sana. Binafsi namuona Halima Mdee na usaliti wake, ndiyo alistahili kupewa nafasi. Kwa sababu ni yeye peke yake hana historia ya kuhamia chama kingine.
By the way unakumbuka Msigwa alivyokuwa anabebeshwa picha ya Samia kama watoto kwenye sherehe?Siasa ni mchezo wa ajabu sana. Ila kwangu mimi Msigwa ni jembe na amerudi nyumbani. Yes, anaweza kupewa mwaka mmoja wa probation lakini nina uhakika hana nia ovu. Hata Selasini. Wale wa CHAUMMA ndiyo siwaamini kabisa. Hata Mbowe bado ana kinyongo kikubwa kwa kushindwa. By the way unakumbuka Msigwa alivyokuwa anabebeshwa picha ya Samia kama watoto kwenye sherehe?
Aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),na msemaji wa Serikali Gerson Msigwa, ametangaza rasmi kujiondoa ndani ya CCM na kurejea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akieleza kuwa amechukua uamuzi huo kutokana na masuala ya haki za binadamu, utu na demokrasia nchini.
Sio huyo mkuu Mchungaji Peter MsigwaAliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),na msemaji wa Serikali Gerson Msigwa, ametangaza rasmi kujiondoa ndani ya CCM na kurejea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akieleza kuwa amechukua uamuzi huo kutokana na masuala ya haki za binadamu, utu na demokrasia nchini.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Msigwa amesema kuwa matukio ya hivi karibuni ya ukiukwaji wa haki yaliyoripotiwa kutokea Oktoba 29, 2025, yamemfanya kufanya tafakari ya kina kuhusu msimamo wake wa kisiasa.
“Nimefikia hatua ya kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya ubinadamu. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena,” ilisomeka sehemu ya taarifa hiyo.
Msigwa amesema kuwa kwa dhamira yake binafsi, ameona ni vyema kujiondoa CCM na kurejea CHADEMA ili kuendelea kushiriki katika harakati za kupigania haki, utu na demokrasia ya kweli nchini.
Katika taarifa hiyo, pia amewaomba radhi Watanzania pamoja na wanachama wa CHADEMA ambao huenda waliumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wake wa awali alipokuwa ndani ya CCM.
“Naomba radhi kwa dhati kwa wale wote walioumizwa au kukatishwa tamaa. Tulikuwa pamoja katika safari ya kutafuta haki na demokrasia ya kweli,” alisema.
Aidha, Msigwa amesisitiza kuwa pamoja na mapungufu ya kibinadamu, dhamira humtaka mtu kusimama upande wa ukweli na haki wakati wote.
View attachment 3593885
Lakini mbona uchaguzi matokeo alikubaliana nao, hakuona zile kampeni zilikuwa za chama kimoja.Msigwa bado ni kamanda kindakindaki. Mark this! Sioni namna ambayo Msigwa angeweza kukaa na kumsifia tena ''mama'' kwa kilichotokea 29/10. Ile ilikuwa turning point na kama unafuatilia maandiko yake kwenye social media utaaóna alianza kubadilika mara baada ya mauaji. Hakuamini kuwa Samia angeweza kuua watu kinyama namna ile. Watu wa hatari sana ambao hawatakiwi kupokelewa ni kina Mchome, au nisime wengi ya wale waliotimkia CHAUMMA.
Bora tanga tuanue na vitu vya marrhemu tugawane kbs.Hicho chama kwa hao waliobaki hakifikishi December tutaanua tanga
Yericko Nyerere huyu ni wa kupigwa mawe hadi afe.Binafsi sina imani nao kabisa.. Hapo si ajabu ukakuta Yeriko naye yuko njiani
Chaumma ilitumika kama condom tu kuhalalisha ùchafuzi wa 2025 sasa hivi hawahitajiki tena na kwa vile hawana mizizi watakufa natural death.Hicho chama kwa hao waliobaki hakifikishi December tutaanua tanga
Huyo Yeriko mnamkuza pasipo sababu yoyote. Jamaa hana impact yoyote kwenye siasa za Tanzania na hakuwa na impact yoyote CHADEMA. Ni kama wale wapiga debe wa stendi unaweza kudhani ni mwenye gari kumbe mwenye gari hata hamjui. Kumpiga mawe Yeriko ni kumuonea kwa sababu ufahamu wake ni mdogo kiasi cha kutojua kifo ni nini. N kama watoto wanofurahia ubwabwa kwao wakati wa mazishiYericko Nyerere huyu ni wa kupigwa mawe hadi afe.
Mbowe ndiye yuko nyuma ya pazia la Chaumma, mgawanyiko uliotokea baada ya Mbowe kushindwa kwenye uchaguzi Mbowe alikuwa na uwezo wa kuuzuia lakini hakufanya hivyo kwa kinyongo hivyo huyu ni adui namba mbili wa Chadema baada ya CCM.Siasa ni mchezo wa ajabu sana. Ila kwangu mimi Msigwa ni jembe na amerudi nyumbani. Yes, anaweza kupewa mwaka mmoja wa probation lakini nina uhakika hana nia ovu. Hata Selasini. Wale wa CHAUMMA ndiyo siwaamini kabisa. Hata Mbowe bado ana kinyongo kikubwa kwa kushindwa. By the way unakumbuka Msigwa alivyokuwa anabebeshwa picha ya Samia kama watoto kwenye sherehe?
Aaah sheikh wangu sunnah yakhe kupewa hata msuli.Mimi nikipewa chochote nachoma moto..sitaki nuksi Mimi😀
Take a note:
Kuna mawili hapo. Kwanza watakua wamesikia mazuri upande wa chadema na wanarudi waje wapate nafasi coz sio kwa moto wanaoucheua wanachadema. Au wamerudi kuspy chama wawe wanatoa taarifa huko