Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

Mbowe ndiye yuko nyuma ya pazia la Chaumma, mgawanyiko uliotokea baada ya Mbowe kushindwa kwenye uchaguzi Mbowe alikuwa na uwezo wa kuuzuia lakini hakufanya hivyo kwa kinyongo hivyo huyu ni adui namba mbili wa Chadema baada ya CCM.
Huyu anaweza kuwa hatari hata kuliko CCM. Nia yake ni kuona CHADEMA imezorota ili watu waseme bila Mbowe hakuna CHADEMA. Hata anapoona nyomi lamkutano sasa hivi anaumia sana. Ulishawahi kusikia anakemea kilichotokea 29/10? Kwangu mimi angekuwa ametokea na kukemea vikali na kusema Samia amevuka mpaka ningempa credit kubwa. Lakini hawezi kufanya hivyo kwa sababu ana deni la CCM. Alipewa fedha na akiwageuka wanaweza kumfanya kama mzee Kibao.
 
Tofauti na akina Wenje,kilichomtoa Msigwa CDM kinajulikana.
 
Kikundi cha Chaumma ni hatari kuliko maelezo, yeyote aliyeenda huko hatakiwi kurudi hata kuwa mwanachama anayechunguzwa hasa huyo Yericko.
Miezi ijayo tutashuhudia mengi.. Na si ajabu mauaji na utekaji vitaongezeka maradufu
 
Msigwa bado ni kamanda kindakindaki. Mark this! Sioni namna ambayo Msigwa angeweza kukaa na kumsifia tena ''mama'' kwa kilichotokea 29/10. Ile ilikuwa turning point na kama unafuatilia maandiko yake kwenye social media utaaóna alianza kubadilika mara baada ya mauaji. Hakuamini kuwa Samia angeweza kuua watu kinyama namna ile. Watu wa hatari sana ambao hawatakiwi kupokelewa ni kina Mchome, au nisime wengi ya wale waliotimkia CHAUMMA.
Una hoja, Chaumma academia yote haitakiwi kukaribishwa ni kikundi kilichokuwa ndani ya Chadema kikitumiwa na system akiwemo (Mwamba) kuudhoofisha upinzani sio Chadema pekee bali upinzani wote Tanzania.

Uzuri wamejitenga kwa pamoja wameonekana wazi.
 
Huu moto wa CHADEMA umepeleka hofu kubwa ccm.. Hii isije ikawa ni mbinu ya kupenyeza hao ndumilakuwili
Wewe ambaye sio msaliti, ukiwa mwanachadema una lipi la maana ulilolifanya ukiwa ndani ya chadema kuwazidi wakina Msigwa?
 
Chadema itafanya kosa sana kwa kufikiri kuwa chama hicho ni cha wanachama pekee. Haijawahi na haitatokea.

Kila siku tunaona kampeni zikipitishwa cha tonetone nk, je hizi ni kwa wanachama pekee?

Kuna maelfu ya watu ndaji na nje ya nchi ambao, wanakiunga mkono kwa maduala mbalimbali, lakini sio wanachama. Hawa pia wanapaswa kusikilizwa.

Chadema itafanya kosa kama itaruhusu taasisi kukosa msimamo katika mambo muhimu. Mosi na kuu ya yote lazima kuwe na misingi ambayo kwayo hata akija au kutoka nani, itabaki ilivyo.

Haiwezekani leo mtu aseme ameamua kutoka CCM na kurejea CDM, eti kwa sababu ya matukio ya Oktoba 29. Kwa hiyo yasingekuwepo?

Kudai kuwa chama ni watu, huu ni.mtazamo potofu, ambao pia mnajikanganya wenyewe kwa kudai walioenda Chaumma, hawastahili kupokelewa! Huwezi kuwa na kila mtu katika chama chako, hata Yesu hakufanikiwa na hata leo wapo wasiokubaliana naye.
Mleta mada anasema, uwepo " utaratibu" wa kuwatimua ikiwa watabainika kufanya usaliti. Anasahau kilichotokea kwa COVid 19
 
Hii ni mada huru inayohitaji hoja jadidi na hoja kinzani.. Si lazima niwe sahihi kwa asilimia 100 lakini siwezi kupungua 90

Hapa hatubishani tu bali tubabishana kwa hoja zenye kufundisha, kujenga na kufikirisha huku nyingine zikitoa Way forward kwenye mnyumbuliko wake!
 
Kilichomrejesha Msigwa Chadema ni hali yake tu ya kujikuta ametelekezwa na maccm yaliyomshawishi kukimbia mapambano. Msigwa kwa sasa hana sifa ya kuitwa Kamanda.
There is no way back kwa mtu aliyefikia hapa 👇
1000137731.png
 
Msigwa bado ni kamanda kindakindaki. Mark this! Sioni namna ambayo Msigwa angeweza kukaa na kumsifia tena ''mama'' kwa kilichotokea 29/10. Ile ilikuwa turning point na kama unafuatilia maandiko yake kwenye social media utaaóna alianza kubadilika mara baada ya mauaji. Hakuamini kuwa Samia angeweza kuua watu kinyama namna ile. Watu wa hatari sana ambao hawatakiwi kupokelewa ni kina Mchome, au nisime wengi ya wale waliotimkia CHAUMMA.
Wale wa chaumma hatuwataki hasa wale waliojipa uongozi wa juu.
 
Back
Top Bottom