Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

Neno langu kwa wasaliti wote wanaorejea CHADEMA: Karibuni nyumbani, ila....

CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA SIO KIKUNDI CHA WANAHARAKATI,KWENYE SIASA HAKUNA RAFIKI WALA ADUI WA KUDUMU NI KWELI MSIGWA ALIWAKOSEA WANACHADEMA WENGI LAKINI TUSISAHAU PIA CHADEMA ILIMKOSEA SANA MSIGWA WASAMEHEANE.
TUTOFAUTISHE HARAKATI NA SIASA
 
Alitunanga sana huyu pimbi
 

Attachments

  • VID-20260524-WA0004.mp4
    2.4 MB
WanaCHADEMA mnaokihama chama chenu kuja CCM kwa nia ya kupata vyeo hakikisha una elimu kubwa pia hata huko CHADEMA una impact kubwa. Msigwa alikuwa na tamaa ya cheo ila kwa elimu yake duni asingeweza kuteuliwa hata kama mamlaka ya uteuzi ingekua na nia ya kumteua. Kisiasa Msigwa alikuwa heavyweight huko unyumbuni CHADEMA ila bahati mbaya kama ilivyo kwa Lema, Sugu na Yericko, alikuwa na elimu duni.
 
Kama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu.

kwa kila Mtanzania mwenye nia njema na ya kweli ya kuikomboa nchi, lakini ni moto mkali utakaomteketeza kila anayetaka kukichezea na kukitumia chama hiki kama kitega uchumi chake binafsi.View attachment 3593924
J.Selasini anakwenda kutwaa na kushika kimkakati hatamu za uongozi wa Chadema taifa katika muda usiokua mrefu ujao 🐒
 
Back
Top Bottom