Pre GE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
msingi wa uwajibikaji wake ni chama chake cha siasa kilichomdhamini kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi πŸ’

once amebanduliwa kwenye chama chake, anapoteza nafasi ya ubunge na wananchi wanapaswa kumchagua muwakilishi wao mwingine πŸ’
Kuna mambo ya principle ambayo ni ya muhimu kuliko ubunge.

Sasa kama chama kinaua watu, mbunge hapendi hilo, unataka mbunge akae kimya tu kwa sababu chama chake ndiyo kinachoua watu?

Umewahi kusoma kitabu cha John F. Kennedy kilichoshinda nishani ya Pulitzer kinachoitwa "Profiles in Courage" ?
 
Kosa lake ni kukuzidi akili ya kuelewa mambo na kudadavua. Ngoja tuone kama utamshinda
ni ubunifu wa kiwango cha juu sana cha uzushi na uongo tangu baada ya kutemwa baraza la mawaziri alipojaribu kutupiga fix alipotumia rula kupima size ya ukubwa wa samaki waliorostiwa vizuri sana kwa nazi 🀣

zile data sijui ziko wap kwanza mpaka sasa dah πŸ’
 
kwa uzushi na uongo ule wa mbuni tuhuma mwenye kiburi, wivu na hasira za kutemwa baraza la mawaziri, sidhani kama atasavive up to the middle of next week πŸ’
....Mpina pamoja na madhaifu yake kama binadamu!, katikq hili nasimama nae, Haitaki akili kubwa kuona kwamba Ndugu Bashe Kachukua mlungula na analindwa.
 
Mpina simama na unachokiamini - hutakuwa wa kwanza kutimuliwa CCM ama upokwa Ubunge si mwisho wa maisha.

Mboma kuna watu hawana vyama ila ni Wabunge, TZ hakuna linaloshindikana.
Kwa katiba ipi mtu hana chama halafu ni mbunge?
 
kwa uzushi na uongo ule wa mbuni tuhuma mwenye kiburi, wivu na hasira za kutemwa baraza la mawaziri, sidhani kama atasavive up to the middle of next week πŸ’
Akili yako ina shoti na kuna waya zimekatika, unajizima data makusudi tuu au ni uchawa unakusumbua.
 
nani anataka mbunge akae kimya gentleman?πŸ’

kama unazuiwa kusema, unababaika na kung'ang'ana ulipo ili iweje, si ukatafute platforms nyingine na useme vizuri na kwa uhuru zaidi, au unaogopa ukiwa pengine πŸ’

nadhani naweza kua nimesoma vitabu vingi mno, miongoni mwao ni hicho πŸ’
 
Mbona wewe hatujawahi kukuona unaleta uzushi au uongo. Kwani hujui kwamba siasa ni uongo. Siasa ni mchezo wa karata. Tatizo watu wengi mnaingia kwenye siasa kwa kufosi. Siasa ni mchezo mwenzako akicheza hivi kwa maneno unatakiwa kupangua kwa maneno. Siasa ni mdomo sio nguvu. Data data ndio siasa. Siasa ni kugeuza uongo kuwa ukweli. Una defend point ya uongo kuwa ya kweli na sio kulialia.
 
Tatizo watu wengi mnaingia kwenye siasa kwa kufosi. Siasa ni mchezo mwenzako akicheza hivi kwa maneno unatakiwa kupangua kwa maneno. Siasa ni mdomo sio nguvu. Data data ndio siasa. Siasa ni kugeuza uongo kuwa ukweli. Una defend point ya uongo kuwa ya kweli na sio kulialia.
 
Akili yako ina shoti na kuna waya zimekatika, unajizima data makusudi tuu au ni uchawa unakusumbua.
kwahiyo akili kubwa ndio hiyo, imetoa na kuhitimisha hoja kwa kishindo cha mihemko binafsi 🀣
 
We jamaa uzalendo wako kwa nchi hii una walakini!
Watu kama nyie hamlifai kabisa Taifa hili lakini kwa bahati mbaya sana nyie ndo mlioshikilia mpini!
 
politics is very interesting game, it is mind game but si uongo,
politics is all about interests,
what is your interest and priorities πŸ’

consider in mind,
in politics nothing happens out of mere coincidence, everythings in politics are normally well planned, organized, scripted and executed to achieve a certain specific political objectives πŸ’
 
kwamba ikibainika muungwana kasema uongo, alazimishwe kutafuna maparachichi mabichi, kama inavyoonekana kwenye picha, right?πŸ’
Ikibainika pesa za nchi zinatafunwa kweli na kuna ubadhirifu mkubwa wa mali za uma kama alivyobainisha bwana mpina ,hao wahusika wafungwe maisha ,bwana mpina kwetu sisi wananchi ni shujaa no mata wati.
 
Ikibainika pesa za nchi zinatafunwa kweli na kuna ubadhirifu mkubwa wa mali za uma kama alivyobainisha bwana mpina ,hao wahusika wafungwe maisha ,bwana mpina kwetu sisi wananchi ni shujaa no mata wati.
ikibainika muungwana kasema uongo atabanduliwa chamani mara moja πŸ’

huku kwetu tunamuona ni jamaa mwenye hasira na chuki kupindukia kuanzia tu mara baada ya kuonekana mzigo, muongo na mzushi mwenye kiburi na jeuri kwa wananchi, alielewa madaraka na kutemwa baraza la mawaziri πŸ’
 
Yeye anasema uongo, ukweli wako uko wapi? Panga hoja zake kwa kuleta hoja kinzani, ulichoandika hapa ni upuuzi na upumbavu kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…