Neno 'Mhudumu' lasababisha kifo cha mmiliki wa baa

HUYU TUMPE KITANZI

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ina tegemea kakuita vipi?[emoji16][emoji16].
Kuna mijitu inaita kwa dharau.
Alafu hapo amekaa na mademu lazma umaind

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hata niwe nimekaa na wakwe zangu me nazingatia pesa tu, hakuna kiwango cha dharau cha kuniita mhudumu kisha nikasirike, me naipenda pesa babu. Sema tu landa kuna jambo tumefichwa kwenye hili tukio huenda walikuwa na ugomvi wao before.
 
Hii ni dondoo nzuri kwa wataalamu wa afya kuifanyia tafiti ili waje na namna ya kuboresha huduma kama inavyofanyika katika maeneo mengine yenye changamoto ikiwemo vifo vya wajawazito
Wataalam wenyewe wa afya wamejazana kwenye uzzi wa rick boy ule wa kula tunda kimasihara sidhan kama hii wataiona ila ilikuwa na tija kweli kweli, kuna yule jamaa anajita carlos the jackal sijui anawabandua kimasihara kule na ni docta asa hapa tuhesabu tushaumia mkuu….
 
Ndiyo, halikubaliki. Kuna ubaya gani kutumia neno Afisa mauzo?
Afisa mauzo sio muhudumu, afisa mauzo ni yule anayeshawishi kuuzwa kwa bidhaa ambapo kwa bar hakuna hicho kitengo kwa sababu bar tunaenda wenyewe tunakuta viti, wahudumu na vinywaji kisha tunaita wahudumu tunawaagiza gambe. Mhudumu ni mtu atoaje huduma sasa wewe ni mmiliki wa bar umetuwekea huduma ya vinywaji unakaataje tukikuita mhudumu?
 
Hapo defence yako ni involuntary intoxication au temporary insanity 🀣🀣 manake jamaa baada ya kupokea kipigo akachanganyikiwa kisha akaenda kutafuta msaada wa kisu
 
Hapo defence yako ni involuntary intoxication au temporary insanity 🀣🀣 manake jamaa baada ya kupokea kipigo akachanganyikiwa kisha akaenda kutafuta msaada wa kisu
hapana, hakunywa kiasi cha kukosa fahamu ya maamuzi sahihi! malezo ya RPC hayasemi hivyo! Hivyo hiyo defense sidhani kma itamsaidia..... lakini si ushahidi bado kutolewa mahakamani (kesi haijafunguliwa) , anaweza kuitumia as you have suggested
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…