Nesi aliyempokea Lissu Hospitalini anadai kuwa Antony Mtaka alimtukana 'Fala wewe' na akamuweka mahabusu siku tatu wakati ni Mgonjwa

Mtu kuwa CCM kuna mambo mawili 1. Mla rushwa na jangili 2. Shetani
 
Mtu kuwa CCM lazima awe shetani haswa
 
Duh...!. Yaani huyu yumo kwenye list ya viongozi waliokuwa wameshirikishwa kwenye Verse ya kumuua Lissu?!. Please don't!. Mbona list ililetwa humu na jina lake halimo?. The list iko hapa Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!
P
 
rais akitembea uchi utamuhoji kwa heshima ? anavyofanya Sa100 anajiheshimu ? yaan kusign mkataba usio na muda ni kujiheshimu ?
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…