Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh...!.Wewe unamjua kwasababu umemwona kazini, sisi tuliokua na kuishi nae tunajua mengi zaidi yako.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...!.Wewe unamjua kwasababu umemwona kazini, sisi tuliokua na kuishi nae tunajua mengi zaidi yako.
ulimboka na akwelina , uwe unafuatiliaCCM hatujawahi kudhulumu wala kubariki udhulumaji wa uhai wa mtu yeyote yule hapa nchini.
Utakuwa humjui Anthony Mtaka, hawezi kupata muda wa kujibu vitu vidogo hivi!. Kwa tunaomjua Mtaka, tunajua Mtaka hawezi kumtukana mtu yeyote!.
Kwa kifupi, mtu kama huyu
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=RcVTCoB_eom6d54C ataanzia wapi kumtukana mtu?.
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=0Qh3vJg7hWbFQdqv
View: https://youtu.be/sOv_cJSC9As?si=_QRpMw_Rp1rh8C5h
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=h-eJ70koa8_PUcQ9
P
Watu wa Mbeya wamekalia ushirikina snUna mawazo ya mwaka 47 🐼
Nape anakuletea robot hadi bungeni lakini akili Yako Bado imeganda
Sema Nyie Wanyiha ni Wachawi ndio sababu macho Yako ya rohoni yamepofushwa 😂😂😂
Mwenyewe nilikuwa namkubali sn kumbe ni tapeli tupuYani huyu mtaka anadharau sana. Tangu asifiwe eti ni RC bora enzi za Magu akiwa Simiyu yani kiburi na kujiona. Alidhanigi atapewaga uRC Dar.
Mtu kuwa CCM lazima awe shetani haswaUsiusemee moyo wa mtu,nani alitegemea Rais Samia angeweza kumtukana waziri wake Profesa Mkenda kumuita nonsense tena hadharani. Kuna siku pia aliwatukana wateule wake kuwaita stupid? Usiusemee moya wa mtu. Wewe hukuwepo jee huyo mama akileta ushahidi usiotia shaka kuwa Mtaka aliyasema hayo utauweka wapi uso wako. Wakati mwingine mami unajitafutia aibu ya bure kutetea kila uovu wa makada wa CCM.
you have low iq , yaan Ccmu yenye chama tawala haikulivalia njuga hilo jambo kama Ndugai alipoikosoa ccmu kuhusu mikopoKwani Dkt Ulimboka kuna mahali popote pale alipoitaja CCM?
Mwenyewe nimemuona ni mjinga haswaAnthony Mtaka Laana ya kikokotoo imeanza kumtafuta 🐼
PS atakuwa na IQ gani na wewe?you have low iq , yaan Ccmu yenye chama tawala haikulivalia njuga hilo jambo kama Ndugai alipoikosoa ccmu kuhusu mikopo
ccmu wanathamini upigaj kuliko hatima ya wananchi wao
Wananchi tunamuombeaBrother Lissu kweli ana ulinzi wa Mungu.
Duh...!. Yaani huyu yumo kwenye list ya viongozi waliokuwa wameshirikishwa kwenye Verse ya kumuua Lissu?!. Please don't!. Mbona list ililetwa humu na jina lake halimo?. The list iko hapa Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!Paschal nakuheshimu sana lakini hii hoja umeijibu KICHAWA CHAWA SANA huu siyo ubongo wako, huyo unaedhan hawezi tukana wengine tumefanya nae kazi wala hayupo hivyo na hata upigaji ni fundi mzuri sana, viongozi wote waliokuwa wameshirikishwa kwenye Verse ya kumuua Lissu hakuna aliyekuwa na akili zaidi ya kumfurahisha yule aliyetangulia kuzimu. Hivyo Paschal utakuja jiweka ktk wakati mgumu unapomchukulia mpigaji kama wapigaji wengine kuwa ni malaika
rais akitembea uchi utamuhoji kwa heshima ? anavyofanya Sa100 anajiheshimu ? yaan kusign mkataba usio na muda ni kujiheshimu ?Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais wetu.sihitaji hata kukujibu kwa kuwa umekosa adabu kabisa kwa Rais. Rais wa nchi usifananishe na mtu wa kawaida.kwanini usingeuliza kwa lugha ya staha na adabu ili uweze kujibiwa kuliko kuandika kwakutumia lugha chafu,ya kejeli na dharau?
Ana majivuno mjita yule. Wana madharau wajita usiombe awe bosi wako.Yani huyu mtaka anadharau sana. Tangu asifiwe eti ni RC bora enzi za Magu akiwa Simiyu yani kiburi na kujiona. Alidhanigi atapewaga uRC Dar.
Well saidUsiusemee moyo wa mtu,nani alitegemea Rais Samia angeweza kumtukana waziri wake Profesa Mkenda kumuita nonsense tena hadharani. Kuna siku pia aliwatukana wateule wake kuwaita stupid? Usiusemee moya wa mtu. Wewe hukuwepo jee huyo mama akileta ushahidi usiotia shaka kuwa Mtaka aliyasema hayo utauweka wapi uso wako. Wakati mwingine mami unajitafutia aibu ya bure kutetea kila uovu wa makada wa CCM.
Duh...!. Huku sio kututendea haki Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fairMtu kuwa CCM kuna mambo mawili 1. Mla rushwa na jangili 2. Shetani
Sio kututendea haki Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fairMtu kuwa CCM lazima awe shetani haswa
Tangu 2005 CCM imewahi kuchaguliwa tena au inajichagua yenyewe toka shina lake la NEC? kuwa mkweli wewe ni mkristo na leo ni j2Duh...!. Huku sio kututendea haki Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
P
Kwamba wewe ni mgeni Tanzania? kwanini hamtaki kupiga kura kwa online system au kuwa na tume huru?
Rubbish RC kuanzia jana nimemdharau kabisa hafaiAna majivuno mjita yule. Wana madharau wajita usiombe awe bosi wako.