Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
It's very unfortunately, Tanzania tuna chama kimoja tuu. Chama kwa maana halisi ya chama cha siasa, ni kimoja tuu, the one and only, na kitatawala milele! Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.Tangu 2005 CCM imewahi kuchaguliwa tena au inajichagua yenyewe toka shina lake la NEC? kuwa mkweli wewe ni mkristo na leo ni j2
- Je, CCM Itatawala Milele Au?
-https://www.jamiiforums.com/threads/watch-tbc-live-william-malecela-na-ndoto-ya-ccm-kutawala-miaka-50.290455/
Kinachoifanya CCM itawale milele ni kwasababu CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali? na pia kwasababu CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P