Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Hivi kwa nini hujiulizi hawa kina netanyahu kwa nini wastake kuishi miji yenye maraha kama Paris,Zurich,London new york why wakimbilie hapo jagwani mie nasema hapo ni kwao na huo ndo uzao wa Ibrahim Jacob na isaka period.
Na mimi nasema hapo ni pao
 
Mimi sihitaji kugugo,najua uyahudi ni dini,ndiyo maana Israel wanataka wazuwie watu wengine kuwa wayahudi iwe kwa waisrael tu

Unachojua kipô limited, jifunze zaidi utagundua uyahudi upo zaidi ya hivyo unachojua.

Israel Ipo Sheria ya Mtu kubadilishwa kuwa Myahudi kidini

DR Mambo Jambo embu msaidie huyu ndugu
 

Sasa biblia ni mali ya yahudi au christians.
Kuna hatari hapo mmoja Hana kitabu anadandia kitabu cha mwenzie au kuna hatari kuna mtu haelewi hicho kitabu.

Waislamu wana Koran.
Wahindu wanavitabu vyao.
Buddhist wanavitabu vyao.
Christin na Jews wanashare kitabu?

Sijauliza kwa nia mbaya.
 
Mimi sihitaji kugugo,najua uyahudi ni dini,ndiyo maana Israel wanataka wazuwie watu wengine kuwa wayahudi iwe kwa waisrael tu
Mkuu vp unasemaje kuhusu magaid yote kuwahishwa jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe ndugu mdau
Toa neno
 
Mnijibu haya maswali Kwa ufasaha tafadhari.

1. Wapalestina walitoka wapi kufika pale walipo.
2. Asili yao WaPalestina ni wapi?
3. Israeli/Mayahudi walitoka wapi kufika hapo?
4. Asili ya Israeli/Mayahudi ni wapi?
5. Dini yao hasa hawa Mayahudi/ Israeli ni ipi?
6. Ukristo uliingiaje hapo Israeli/Kwa Mayahudi.
7. Biblia chanzo chake ni nini?
8. Agano la kale Vs biblia ya sasa tofauti ni nini.
9. Kwanini kuna hii biblia ya sasa na sio agano
la kale?.
10. Abraham (Baba wa Imani) asili yake ni wapi
11. Kabla ya Abraham hakukuwepo watu ulimwenguni?
12. Wazee wa Abraham ni akina nani?
13. Kabla ya Abraham hapo Israeli waliishi
akina nani?
14. Asili ya race nyingine Indians, Chinese, Russians, African, Wazungu nk chanzo chake ni nini?
 
Tatizo la Abraham, hakuacha utaratibu wa urithi wa mtoto wa mchepuko wake wa Ki-Misri, ambaye ni Ishmael (Baba wa Waarabu)
Mbona mna mtusi Abraham kuwa alikua na mchepuko? Abraham anatambulika ndiye baba wa imani, iweje baba wa imani azini?
Tafuteni elimu kwanza.
Naunga mkono hoja.
 
Ww usituchanganye Mungu wa akina ibrahim hakuitwa alah ww unafosi tu Alah ni Mungu wa waarabu lini Yakobo akawa na Mungu anaitwa Alah😎
 
Netanyahu yupo vibaya, support ipo chini, anatafuta support, sio kawaida kuongea religious kiasi hiko wakati ipo wazi Jews wanachukia Christians,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…