halichachi bando
Senior Member
- Feb 17, 2018
- 122
- 166
Israel safari hii amepwaya, hafanyi mashambulizi kama alivyofanya 2006.. 2006 hakuna mahala Israel hakupiga, alipiga hadi shule, barabara urefu km 640 waliharibu , piga HQ za Hezbollah na nyumba zao za viongozi... Tv station ya Hezbollah, madaraja, vituo vya fuel n.k
Kwa sisi tuliofuatilia battle la 2006, tunana Israel kashuka kiwango. Bado sana kuivunja Hezbollah nguvu... Bado sana .
Hawajui hili!Israel safari hii amepwaya, hafanyi mashambulizi kama alivyofanya 2006.. 2006 hakuna mahala Israel hakupiga, alipiga hadi shule, barabara urefu km 640 waliharibu , piga HQ za Hezbollah na nyumba zao za viongozi... Tv station ya Hezbollah, madaraja, vituo vya fuel n.k
Kwa sisi tuliofuatilia battle la 2006, tunana Israel kashuka kiwango. Bado sana kuivunja Hezbollah nguvu... Bado sana ..
Mi mwenyewe nashindwa kuelewa hawa wadau wanaongea kitu gani ..Vijana wa sasa utawaweza?
Sometimes unawaacha waruke ruke na ujinga wao matukio ya mbeleni yatakuja kuwaonyesha kama ni wajinga zaidi au werevu.
Lakini kwa ajali ya Iran ni tofauti, baada ya pagers za Hezbollah walizonunuliwa na Iran kuripuka, Iran imetuhumu kuwa inawezekana Israel ilihusika na ajali iliyomuua rais wao sababu kwenye chopa kulikuwepo na pagerRais wa Poland 2010 alianguka na ndege Smolensk Russia akiwa na mkewe na wengine 94 wakafariki.
Ajali zinatokea na hakuna uthibitisho Israel ilihusika na hio ajali.
Kwani May aliporusha yale makombora 300 kwenda Israel,Israel ilifanya nini!?Si iran arushe basi au ajitokeze mazima..? Haahahah kama hajawa majivu
Una ushahidi gani kama Israel ndio walimuua rais wa Iran?Umesahau kuwa jibu la Israel kwa Iran lilikuwa baya sana kwa kumwua raisi wa Iran. Au hadi leo unajua hali mbaya ya hewa.
Hezbollah ana uwezo wa kuwahamisha raia wa miji yote ya Israel wahamie warundikane sehemu moja, makombora ya Hezbollah yanafika popote Israel...Hawajui hili!
Wanadhani Israel kushambulia hivyo Lebanon na bado hajatoa tangazo la vita ni bahati mbaya?
Hawajiulizi hilo?
Siku 2 mfululizo Hizbullah kawalaza raia wa Israel kwenye mahandaki nalo hawajiulizi kwa nini mpaka muda huu hajatangaza vita?
Acha uongo wa KIFALA wewe.Unaongea ujinga wewe, Israel kaua rais wa Iran na hajafanywa kitu na Iran. Wamejifanya kutoa statement ya uongo kwamba hali ya hewa ndiyo iliangusha helicopta ya rais Raisi ili kuondoa aibu
Israel taifa la Mungu
Ismail Haniyeh ndio rais wa Iran!?Hadi leo wasio na weledi wanajua kuwa hali mbaya ya hewa ndiyo ilisababisha ajili ya helikopta ya raisi wa Iran.
*Rais wa Iran hakuuliwa na Israel huu uongo ufuteni.Rais aliyeamuru mashambulizi kwenda Israel yuko wapi?
Kati ya maboom 300 yaloingia Israel ni mangapi?
Gaidi wa Hamasi alifia nchi gani na mhisika ni nani?
Utakataaje kwamba IDF haiwezi kuingia popote middle?
Muda huu Hizbullah anashambulia West Bank kwa mara ya kwanza tangu waanze kushambuliana na Israel na milipuko inasikika huko West Bank.Mi mwenyewe nashindwa kuelewa hawa wadau wanaongea kitu gani ..
Netanyahu mwenyewe anaonekana mjinga tu, kwenye hotuba baraza la usalama umoja wa mataifa wawakilishi wengi tu walitoka nje kushiria anaongea pumba tupu, najua ilimtesa kisaikolojia sana.
Kwa hasira akaanza kutoa mikwara ataipiga Iran, Netanyahu amekuwa kama mwehu, anazidi kutengeneza jina baya kwa Israel, Ajifunze kwa Ehud Olmert, Israel itamgeuka Hezbollah wakianza mashambulizi....
Nina uhakika hii ni nafasi Hezbollah walikua wakiitafuta Israel aingie kwenye 18 na kweli ameingia...
2006 Israel alishambulia usiku na mchana siku 4 mfululizo , kazi na dawa hakuna kulala..Mbona unatoa conclusion mapema kichapo bado kinaendelea bado hakijaisha ndio kwanza wanaanza
Ngoja tuone mambo yao yatakuwaje!Hezbollah ana uwezo wa kuwahamisha raia wa miji yote ya Israel wahamie warundikane sehemu moja, makombora ya Hezbollah yanafika popote Israel...
Wakisema Haifa yote ihamie Tel Aviv watahama wapende wasipende... Si watumie hizo iron dome?
Iron dome zenyewe zime prove failure ndio maana raia wa Israel wanahama kusini mwa Israel kama wakimbizi...
Hilo tu kinawatesa sana uongozi wa Netanyahu...
Hezbollah hata juzi hapa wamesharusha roketi kuelekea Tel Aviv na limefika, ilikuwa ni message tu kwamba "Hello there? Ulipo tupo"...
Hivyo Hezbollah inaweza kuamrisha Tel Aviv wahamie Jerusalem, au Haifa waende Tel Aviv, au Rishon na raia wakaenda...
Watu hawaijui Hezbollah..
Ila huu ukimya wa Hizbollah unaleta utata sana.Ngoja tuone mambo yao yatakuwaje!
Kwa mujibu wa sasa hali inayoendelea ni hii:
Israeli Army Radio:
Rocket fire from Lebanon targets West Bank settlements for the first time after yesterday's operation in the southern suburb.
Hapa kinachosubiriwa ni Hezbollah atoe tamko kwamba anaingia vitani, ndipo watu watagundua kama vita ni rahisi wanavyofikiria...Muda huu Hizbullah anashambulia West Bank kwa mara ya kwanza tangu waanze kushambuliana na Israel na milipuko inasikika huko West Bank.
Moja ya shambulizi alilolifanya Israel huko Beirut ni kushambulia gas station matokeo yake athari za mlipuko zinakuwa kubwa na kuleta madhara.
Jana usiku aliwaambia raia wa Southern Beirut waondoke hali ya kuwa muda anaotoa tangazo watu wamelala.
Licha ya hivyo tangazo lao wanasema lita target specific areas. Short moments later they bombed the entire area.
Huwa najiuliza; kambi za hizbullah wanazifahamu. Kwa nini wasisambulie hizo kambi badala yake wanashambulia maeneo ya raia. Jawabu wanalolitoa ni kuwa wanajificha kwenye makazi ya raia.
Walilulizwa swali moja na radio moja ya UK kwamba ikiwa hiyo ndiyo justification: Ikiwa kama wamejificha Tel aviv, nayo mtailipua kama mnavyofanya nchi nyengine pasipo kuangalia idadi ya raia wenu waliyopo kwenye hilo eneo? Jawabu hawana!
Wanachotakiwa wafanye kama Russia anachofanya nacho ni kushambulia miundombinu ya kijeshi na ndiyo maana mpaka leo Ukraine raia bado wananendelea na shughuli zao za kawaida ijapokuwa nchi ipo vitani.
Nilichojifunza ni kuwa kama Mrusi.Ila huu ukimya wa Hizbollah unaleta utata sana.
Yani hawatangazi kitu wapo kimya sana.
Sijui wanapanga nini hawa jamaa.
Ni aina flani ya kiongozi anaesimamia anachokiamini mwenye uthubutu na jasiri, japo siungi mkono operation anayoiendeleza.Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.
My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa kumchukulia hatua wala kumzuia chochote qtakachoamua kufanya kwa yoyote duniani.