Netanyahu anaangalia uwezekano wa msaada wa kijeshi wa Israel kwa Ukraine

Kwa hiyo Israel Ina silaha Bora kumshinda USA .
Nakumbuka wakati wa vita baina ya Israel na Hizbolah kama sijakosea,Israel iliishiwa mabomu Hadi ikaomba iongezewe kutoka USA.
Mnaokumbuka nikumbusheni.
 
Kaka wewe unataka ugomvi na pro Russia hapa JF!!!!!Anyway katika mambo hayo Ntenyahu yupo vizuri since akiwa Mossad
 
Kwa hiyo Israel Ina silaha Bora kumshinda USA .
Nakumbuka wakati wa vita baina ya Israel na Hizbolah kama sijakosea,Israel iliishiwa mabomu Hadi ikaomba iongezewe kutoka USA.
Mnaokumbuka nikumbusheni.
Kaka kua serious IDF iishiwe mabomu????Au umeongea kishabiki????
 
Kwa hiyo Israel Ina silaha Bora kumshinda USA .
Nakumbuka wakati wa vita baina ya Israel na Hizbolah kama sijakosea,Israel iliishiwa mabomu Hadi ikaomba iongezewe kutoka USA.
Mnaokumbuka nikumbusheni.
IDF ni tofauti na majeshi mengine since lianzishwe!!!Karibia nchi zote duniani zikiwemo nchi za kiarabu kama Egpty,Jordan,UAE,Morroco,Algeria, North Sudan zina uhusiano wa kificho na Mosad ili kuwasaidia kupambana na wapinzani wao kisiasa na kupata teknolojia za kijeshi na zote tayari zimefungua balozi na Israel!!!
 
Israel hawezi kufanya hivyo.... Russia anaweza kumjibu haraka sana kwa kumpatia siraha Iran ambao ni wapinzani wakubwa wa israel.. na ndo maana wapo kimya wanahofia hilo..
Russia haiwezi kuifanya lolote israel as long as Nato wapo!!!!Hata kijeshi republic guards wa iran huwezi kuwafananisha na marine,s wa IDF!!!!Tuache propaganda na ushabiki tuongee ukweli
 
Huyu Benjamin anaujua mziki wa urusi kamwe hawezi kusogeza pua labda kama haipendi nchi yake.
Urusi mnamsifia sana ila toka alipomtelekeza lumumba kinshasa na pia alipompa msiri mig za mchongo wakati wa vita vyake na Israel ile inayoitwa six days wars na ile ya yor kippim 1973 na akampa Iddi amini mig za mchongo alipopigana na tanzania!!!
Mimi naujua ukristo wa kweli na ninacho sema ni kwamba huu wa sasa uliopo duniani siyo ukristo ni uhuni tu. Na nina zijua dini zote vizuri sana.
Wewe huujui ukrsto bali una ajenda yako nyuma ya pazia kuwatukana wakrsto!!!!!Ukrsto gani unaujua wewe????
 
Russia haiwezi kuifanya lolote israel as long as Nato wapo!!!!Hata kijeshi republic guards wa iran huwezi kuwafananisha na marine,s wa IDF!!!!Tuache propaganda na ushabiki tuongee ukweli
ndo nyie mkiulizwa maziwa yana rangi gani??...unajibu.. ziwa nyasa na Victoria ni makubwa sana..... nilichoeleza mimi na ulichoandika ni tofauti kabisa.... nani kakwambia Russia atakabiliana direct na Israel?
 
Mimi naujua ukristo wa kweli na ninacho sema ni kwamba huu wa sasa uliopo duniani siyo ukristo ni uhuni tu. Na nina zijua dini zote vizuri sana.
Vipi unazijua vizuri dini za budha,islam na hindu @ Lwiva??????Utupe elimu kidogo?????Au ajenda yako ni ukrsto tu ukidhani sisi wote maamuma bin takafur kaka?????
 
ndo nyie mkiulizwa maziwa yana rangi gani??...unajibu.. ziwa nyasa na Victoria ni makubwa sana..... nilichoeleza mimi na ulichoandika ni tofauti kabisa.... nani kakwambia Russia atakabiliana direct na Israel?
Kaka sasa unasema russia awatumie irani au mgambo wa hezbolah????Kweli upo serious!!!!Punguza munkari afu usome nilichoandika taratibu!!!!!Na usiwe na jaziba kwenye mdahalo kaka
 
Yani Netanyahu nae mnafiki tu,, anasema atapeleka silaha Ukraine wakati huo huo anasema yuko tayari kuwa mpatanishi,, sisi kama Russia tunasema hizo silaha zake apeleke tu na hata yeye akitaka aende,, viherehere kama hawa ndo tunawata
Viva,, urusi
- Israel ni MSHIRIKA wa 'kudumu' wa US
 
ndo nyie mkiulizwa maziwa yana rangi gani??...unajibu.. ziwa nyasa na Victoria ni makubwa sana..... nilichoeleza mimi na ulichoandika ni tofauti kabisa.... nani kakwambia Russia atakabiliana direct na Israel?
Russia haiwezi kuwauzia nchi yoyote silaha advanced!!!!Yeye na USA lao moja silaha advance hauzi mpaka ziwe out dated kwenye program yake ila wao wanaweza kununua silaha !!!Angalia hayo mataifa mawili nani yamemuuzia lethal advanced jet,s!!!!
 
Russia haiwezi kuifanya lolote israel as long as Nato wapo!!!!Hata kijeshi republic guards wa iran huwezi kuwafananisha na marine,s wa IDF!!!!Tuache propaganda na ushabiki tuongee ukweli
Yaani walokole mnaipenda israel mpk akili hamtumii tena ni ushabiki tu yaani unaifananisha israel na russia wakati bwanake israel ambae israel anapewa misaada ya kijeshi na kifedha kila mwaka ana mhofiwa russia ww unasema russia hana cha kumfanya israel huyo israel atawaonea syria na palestine hata kwa iran hathubutu kurusha ndege kushambulia.
 
Sasa ulokole umetoka wapi na unapoleta hoja za matusi kama neno"Bwana ake"inaonyesha wewe sio mchambuzi wa mambo ya kijeshi bali shabiki sababu wachambuzi hawatukani wala hawana lugha za matusi bali wanadadavua vitu!!!Kweli kwa akili yako unawafananisha marine,s wa IDF na wanajeshi wa Iran IRG???Wewe unaongea kishabiki sio mchambuzi wa maswala ya kijeshi
 
Us naye anaendeleza tech kwa msaada wa vichwa toka Israel hivyo wanategemeana
Acheni kutudanganya nyie.
Tech pale USA wengi ni bara uchina na bara Hindi(Korea,Japan,Hong Kong,India)
Hao Israel wangekua Wana tech wangeunda silaha zao Kwa asilimia kubwa
 
IDF ni jeshi bora kabisa duniani kuliko hata russia ground military force,s!!!Wachambuzi wa kada za kijeshi tunajua hilo
Wangekua IDF ni jeshi Bora wasingepigwa kule Sinai na Misri,wasingepigwa bint jubeir na Hizbollah.
Mpaka Leo hii Israel ukimtajia Hizbollah unamtonesha kidonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…