Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kaka unataka tujadiliane taratibu kama wachambuzi wa medani za kivita au umeongea kishabiki????Wangekua IDF ni jeshi Bora wasingepigwa kule Sinai na Misri,wasingepigwa bint jubeir na Hizbollah.
Mpaka Leo hii Israel ukimtajia Hizbollah unamtonesha kidonda.
Siongei ushabiki nakutajia vita alizopigwa Israel na mpaka mwaka .Kaka unataka tujadiliane taratibu kama wachambuzi wa medani za kivita au umeongea kishabiki????
Tuanzie sinai na misri kwenye mji wa ismailia mwaka 1973 kwenye vita vya yom Kippur!!!Au unataka tuanzie mwaka 1967 kwenye six days war????Nijuze kaka???Wangekua IDF ni jeshi Bora wasingepigwa kule Sinai na Misri,wasingepigwa bint jubeir na Hizbollah.
Mpaka Leo hii Israel ukimtajia Hizbollah unamtonesha kidonda.
Tuanzie vita ipi waliopigana IDF kuijadili?????Chaguo ni lako kaka???Siongei ushabiki nakutajia vita alizopigwa Israel na mpaka mwaka .
Tuanze hata hapoTuanzie sinai na misri kwenye mji wa ismailia mwaka 1973 kwenye vita vya yom Kippur!!!Au unataka tuanzie mwaka 1967 kwenye six days war????Nijuze kaka???
Au tuanzie vita vya mwaka 1982 Beirut au tuanzie vita na wanamgambo wa hezbolah kusini mwa Lebanon!!!!Tuanzie wapi kaka kujadili????Wangekua IDF ni jeshi Bora wasingepigwa kule Sinai na Misri,wasingepigwa bint jubeir na Hizbollah.
Mpaka Leo hii Israel ukimtajia Hizbollah unamtonesha kidonda.
Ok tuanzie mwaka 1973 vita vya yom kipur!!!Anza wewe kuelezea afu nitafuatia mimi ndugu yanguTuanze hata hapo
Hiyo six days war iliyopigwa tarehe 5 mpk 10 km sijakosea February 1967 Israel hakupigana direct confrontation war Bali Kwa kutumia jeshi lake la anga alilipua Kambi ya jeshi la anga la Misri Kesha akahamishia kipigi gollan heights Syria .Tuanze hata hapo
Hiyo six days war iliyopigwa tarehe 5 mpk 10 km sijakosea February 1967 Israel hakupigana direct confrontation war Bali Kwa kutumia jeshi lake la anga alilipua Kambi ya jeshi la anga la Misri Kesha akahamishia kipigi gollan heights Syria .
Ndio maana 6 days war huwa siipagi mashiko sana.Au tuanzie vita vya mwaka 1982 Beirut au tuanzie vita na wanamgambo wa hezbolah kusini mwa Lebanon!!!!Tuanzie wapi kaka kujadili????
Haya anza kaka nakusikiliza!!!Kumbuka mada ni ubora wa IDF sasa na wewe uonyeshe udhaifu wa IDF!!Sawa kakaNdio maana 6 days war huwa siipagi mashiko sana.
Tuanzie October war 1973 iloisha 1974 February Kwa mkataba wa Camp david
Sisi wachambuzi wa medani za kivita six day war ni vita bora kabisa na ni somo kabisa katika vyuo vya kijeshi wanafunzi wanajifunzia mbinu za kivita kupitia vita hiyo!!!Labda kama wewe sio mchambuzi wa medani za kivita na kijeshi hapo sawa!!Ndio maana 6 days war huwa siipagi mashiko sana.
Tuanzie October war 1973 iloisha 1974 February Kwa mkataba wa Camp david
Madhaifu ya IDF naanza kuyaelezea ktk vita ya October kipindi rais wa Misri ni Anwar Sadat.Nakusikiliza ndugu yangu endelea ila usisahau mada ni ubora wa IDF kwa hiyo wewe uonyeshe madhaifu ya IDF!!!Sawa kaka
Mimi huegemea uhalisia kuliko nadharia.Sisi wachambuzi wa medani za kivita six day war ni vita bora kabisa na ni somo kabisa katika vyuo vya kijeshi wanafunzi wanajifunzia mbinu za kivita kupitia vita hiyo!!!Labda kama wewe sio mchambuzi wa medani za kivita na kijeshi hapo sawa!!
Jeshi Bora mimi navyofaham hupimwa Kwa umahiri wa sehem zote za vita(ardhini,majini,angani).Haya anza kaka nakusikiliza!!!Kumbuka mada ni ubora wa IDF sasa na wewe uonyeshe udhaifu wa IDF!!Sawa kaka
Halafu embu pima Israel kakutana na nani mpaka wewe unamuita yeye ana jeshi Bora.Sisi wachambuzi wa medani za kivita six day war ni vita bora kabisa na ni somo kabisa katika vyuo vya kijeshi wanafunzi wanajifunzia mbinu za kivita kupitia vita hiyo!!!Labda kama wewe sio mchambuzi wa medani za kivita na kijeshi hapo sawa!!
Israel kakutana na Misri,Lebanon,Syria, Palestine na Jordan kimsingi ukitizama hayo mataifa yalikua dhaifu kijeshi na kiuchumi kipindi Israel anakutana nao kivita.Sisi wachambuzi wa medani za kivita six day war ni vita bora kabisa na ni somo kabisa katika vyuo vya kijeshi wanafunzi wanajifunzia mbinu za kivita kupitia vita hiyo!!!Labda kama wewe sio mchambuzi wa medani za kivita na kijeshi hapo sawa!!
Sasa ndio uelezee jeshi la msiri lilirudisha vipi eneo la sinai na jeshi la Israel liliondolewa vipi????Na uieleeze penetration ya jeshi la msiri mpaka sinai je yalikua madhaifu ya IDF na penetration ya jeshi la Israel mpaka mfereji wa suez karibu na ismailia je yalikua madhaifu ya IDF????Na ulezee siege ya wanajeshi wa msri waliovuka jangwa la sinai kutokea suez canal je ilikua madhaifu ya IDF?????Na uelezee mikasa ya mateka wa kivita wa pande zote mbili na propaganda zake?????Nakusikiliza kakaMadhaifu ya IDF naanza kuyaelezea ktk vita ya October kipindi rais wa Misri ni Anwar Sadat.
Israel ilikua inaikalia Sinai ila Misri iliirudisha Sinai Kwa vita ya mizinga na vifaru na jeshi la Israel likaondolewa Sinai mpk kufika mwishoni mwa November kama sijakosea.
Nifafanulie vizuri kaka katika mtazamo wa kijeshi na medani za kivita!!!!Nakusikiliza ili na mimi nichangie kakaIsrael kakutana na Misri,Lebanon,Syria, Palestine na Jordan kimsingi ukitizama hayo mataifa yalikua dhaifu kijeshi na kiuchumi kipindi Israel anakutana nao kivita.
Putin wakimshinda kashinda, na akishinda kashindaWaziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema Jumatano kwamba serikali yake haijaondoa uwezekano msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Awali, Israeli ilisisitiza kuwa itatoa msaada wa kibinadamu pekee, ambao nchi hiyo imekuwa ikiutoa kwa Ukraine tangu mwanzoni mwa vita.
Kulingana na Netanyahu, Israel hata iko tayari kuangalia uwezekano wa kupeleka mfumo wa hivi karibuni wa ulinzi wa anga, Iron Dome air defense, kulilinda anga la Ukraine, ingawa awali Israeli ilisistiza kuwa mfumo huu haukulengwa kutumiwa kwa matumizi ya aina hiyo katika maeneo kama Ukraine.
Netanyahu hakutoa ahadi za kipekee, lakini pia alisema kwamba yuko tayari kuwa mpatanishi katika mzozo iwapo pande zinazohasimiana na Umoja wa Mataifa watakubali kufanya hivyo.
Kulingana na Bw Netanyahu, alikuwa amepewa pendekezo la aina hiyo mwanzoni mwa vita, lakini wakati huo alikuwa ni kiongozi wa upinzani na hakuchukua jukumu la upatanishi.