Netanyahu awatesa wapalestina, aitesa Marekani, Israel na dunia yote. Mwisho wake utakuwa funzo kwa binadamu

Hakuna ukweli hapo 👆 👆. eti upotoshaji na utiaji chumvi mwingi. Kwamba Tukio la oktoba 7 ni la uongo? Yani hata waTz waliotekwa na kuUawa ni uongo?
Dah! Ngoja Israel awafunze uungwana na kusema ukweli.
 
Netanyahu is nothing more than a puppet, the real masters are concealed.
 
Mkuu embu tufafanulie, chanzo cha vita hii ni nini?
 
Kwa hiyo unaunga mkono Hamas walipofanya ugaidi kwa kuwaua watoto, wanawake na wazee wa Israel pamoja na kuwateka mamia ya wananchi wa Israel?
Nadhani nenda kwenye page ya senator wa marekani bwana bernie senders ambaye yeye yupo karibu sana na waisrael kuliko wewe wa nanjilinji huyu muheshimiwa ameelezea vizuri sana mzozo huu kuliko kukaa hapa na kubwabwaja bila ya kutumia akili
 
Acheni mateka Vita iishe, kulialia wakati mnaendelea kushikilia mateka wao ni kutafuta kwenda ahera bila nauli
Tatizo siyo mateka ndio maana nasema nyie wakristo wa tanzania tatizo lenu ni elimu hamjui hata kinachoendelea duniani ila mmeshakaririshwa vichwa vyenu haviwezi kufikiria tena
 
Acheni mateka Vita iishe, kulialia wakati mnaendelea kushikilia mateka wao ni kutafuta kwenda ahera bila nauli
Ukiangalia nguvu za jeshi la Israel na kwamba wameshafika mpaka Rafah basi hakuna tena mantiki ya Israel kuwadai mateka kutoka kwa Hamas.Kinachotakiwa ni kukiri tu kwa Israel kuwa tumeshindwa kuwapata mateka kwa njia ya vita.
Israel ikiacha kuona haya kuhusu hali vita basi ndio vita vitaisha haraka.
 
Uwe unafuatilia international news ili uweze kuongea vitu vya maana humu jf, go to school
'Go to school' ni jibu la hovyo kabisa linaonesha ulivyo mamuma na mdini.

Kukuuliza swali siyo kwamba siyajui majibu, ni kama mwalimu ninayekutungia mtihani niuone mtindio wako wa ubongo upoupoje.

Huna lolote unalolielewa juu ya historia ya chanzo cha vita hiyo, ama unaelewa lakini unajifanya haujui kwa sababu ya udini.
 
Hapana mimi sina mambo ya udini ila watu mmekuwa wavivu wa kufikiria mmekuwa mkilaumu na kutoa lawama kirahisi bila ya kufikirisha ubongo , wote tunajua yaliyotokea oct 7 lakini jiulize before october 7 isarel walikuwa wanawatreat vipi wapalestina?
haya leo palestina wamekubali ceasefire na kukubali kuachia mateka unajua nani anayekataa ceasefire na kwa nini?
Unajua kwanini wananchi wa israel wanaandamana kutaka netanyahu aresign?
 
Mbona hamas walijirekodi na kurusha video mitandaoni jinsi wanaua wayahudi kikatili na jinsi wanavyoteka raia upotoshaji upi sasa mbona unabisha kinafiki
 
Tatizo siyo mateka ndio maana nasema nyie wakristo wa tanzania tatizo lenu ni elimu hamjui hata kinachoendelea duniani ila mmeshakaririshwa vichwa vyenu haviwezi kufikiria tena
Kwa hiyo elimu yenu ya madrasa huwa mnajiona mna akili sana au mmefundishwa uwongo na ubishi
 
Kwa upande wangu naumia sana kuhusu yanayoendelea congo hayo mengi hayanihusu kwakweli
 
Kwa hiyo elimu yenu ya madrasa huwa mnajiona mna akili sana au mmefundishwa uwongo na ubishi
Atleast tuna uwezo mkubwa wa kufikiria kuliko mtu anayekariri halafu anashindwa kufikiria ambaye anadanganywa mungu kazaliwa na mwanamke halafu akafa ila kabla hajafa nayeye aliomba msaada kwa mungu
Na hadi leo mnaweka picha ya muigizaji wa kiitaliano makanisani na majumbani mwenu na mnamuita mungu halafu mnasema mna akili timamu, kama hiyo ndio elimu bora nibakulue na elimu ya madrasa lakini niwe na uwezo wa kufikiria
 
Huyu ndio warabu wanamtaka kama hufahamu.

Kila vita ikiendekea Israel ndio inazidi kula hasara tazama kipigo jana hicho kakipokea tokea kwa Hezbullah pale Golan.



View: https://youtu.be/V_z0OIpodzA?si=XKivDaq3MM2S7jKF
 
Kama huwazungumzii HAMAS basi hiki ulichoandika ni UCHAFU UNAONUKA
 
Bado msimamo wake uko pale pale! Israel haitasitisha Vita mpaka kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na Matekao wote kuachiliwa.
 
Netanyahu kwanza ajinasue kwenye kitanzi cha icc
Pili apambane na waisrael ambao wamemchoka na amewaweka wote hatarini kwa ujinga wake

Kwa taarifa yako bado anawatafuna kichwa, namba zinasogea kusoma 40,000
Huwa mnajinasibu kama mabingwa wa majini na muaganga yote kwenye hiyo dini, mumeshindwa kumfanya kitu Netanyahu.
 
Huwezi kuishi kwa amani majirani magaidi. Lazima watakuvizia na kukuchinja tu kama ilivyofanyika Oct 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…