Netanyahu awatesa wapalestina, aitesa Marekani, Israel na dunia yote. Mwisho wake utakuwa funzo kwa binadamu

Huwezi kuishi kwa amani majirani magaidi. Lazima watakuvizia na kukuchinja tu kama ilivyofanyika Oct 7.
Hakuna kitu kama hicho haki ndio inaleta amani kama unaishi kwa kuwaonea lazima na wao wakipata nafasi watajitetea, wazungu michezo hiyo ya kudhulumu na kuonea hawajaanza leo , walifanya mambo haya southafrica na waliowapinga waliwaita magaidi ,haki lazima ipiganiwe
 
Kwa taarifa yako bado anawatafuna kichwa, namba zinasogea kusoma 40,000
Huwa mnajinasibu kama mabingwa wa majini na muaganga yote kwenye hiyo dini, mumeshindwa kumfanya kitu Netanyahu.
Kijana huna unachojua zaidi ya kuandika vitu ambavyo havi make sense , sasa namba zikisogea wewe au israel inanufaika na nini?
Mawaziri wa israel wanataka kuresign kwakuwa hawaoni la maana netanyahu anachofanya kwenye vita
Huku wengine wakitafutwa na icc halafu wewe umbo kwenu kisumu huko unashabikia ujinga, embu elimika basi maana u r talking like kindergarten kid
 
Kwa taarifa yako bado anawatafuna kichwa, namba zinasogea kusoma 40,000
Huwa mnajinasibu kama mabingwa wa majini na muaganga yote kwenye hiyo dini, mumeshindwa kumfanya kitu Netanyahu.
Siku hizi watu hawaangaiki na kuoigana sana wanakunyima fursa tu kwako na watu wako hadi unyooke
haya maldives wamewapiga ban israel wasikanyage ardhi yao kuanzia leo
 

Attachments

  • Screenshot_20240603-135741_Facebook.jpg
    316.1 KB · Views: 5
Kama inakuuma Sana nenda kajiunge nao uwahi mabikra 72 chap
 
Kosa la Netanyahu ni kuogopa haki za binadamu kuliko agizo la Mungu, Mungu alimwambia mfalme Sauli nenda kawaue kabisa mzee, kijana, mtoto, ng'ombe, mbuzi ukaviteketeze!!

Hio ndio lugha waarabu wanayoelewa, ukifanya hivyo wanaachia mateka, Ila akiendelea na hofu Kama Sauli eti jumuia za kimataifa Vita Itakuwa ngumu sana
 
Katika hao mabikra 72 je na bikra wenu Maria yumo? Kama yumo niwekee oder nimtoe rinder
 
Hivi mnaolalama humu eti Israel inapiga wamama na watoto hao Hamas muda huo Israel inapiga huwa wanakuwa wapi?
Wamelikoroga walinywe tu.
Na Israel asingewashushia kichapo hali ingekuwa mbaya kwa usalama wa Israel. Maana Hamas wangenogewa na kufanya ugaidi zaidi na zaidi.
Kwa kichapo hiki kunauwezekano wakakaa miongo kadhaa bila ugaidi.
Hapo wamekutana wazee wa jino kwa jino.
Movie tamu sana hii.
Huku Hamas vs Israel
Kule Ukrein vs Rusia.
Blacks na sisi tupumue kidogo
 
Hali ya kiusalama kwa Israel inadorora kwa kasi kila vita vya Gaza vikiongezeka muda.
Kupigana na Hamas hakujaipa Israel usalama uliotarajiwa
 
Mlitakaje?; Yahudi Hawezi kumsikiliza Mwanadamu wa Damu na nyama Akampuuza MUNGU Wao Aliyewaamrisha Haya!
👇👇
Torati.19:20-21
[19]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
 
Nadhani nenda kwenye page ya senator wa marekani bwana bernie senders ambaye yeye yupo karibu sana na waisrael kuliko wewe wa nanjilinji huyu muheshimiwa ameelezea vizuri sana mzozo huu kuliko kukaa hapa na kubwabwaja bila ya kutumia akili
Kwa hiyo unamwaamini sana huyo seneta? Unajua uelewe hata Marekani siyo wote wanaoipenda waisraeli so ni jambo la kawaida tu kwa seneta kama huyo kuwa against na Israel.


Swali langu bado lipo palepale.
 
Dunia nzima sasahivi inampinga israel hadi sasahivi mawaziri wa israel wamempa netanyahu hadi 8th june atoe vision ya vita na post war plan otherwise wanajiuzulu kwasababu wanaamini netanyahu hana plan ya kumaliza vita bali kung'ang'ania madaraka,
Wanafunzi wa vyuo ulaya na marekani wote wanaipinga israel kwenye vita hii
European union inafikiria kuwawekea vikwazo israel
hadi sasa senior officers watano kwenye ikulu ya marekani wameresign kupinga vuta hii akiwemo muisrael mwanamama lilly ambaye ana ushawishi mkubwa AIPAC fuatilia resignation letter yake uone tofauti ya mtu mwenye akili na wale wa taifa teule
Kwa hiyo unamwaamini sana huyo seneta? Unajua uelewe hata Marekani siyo wote wanaoipenda waisraeli so ni jambo la kawaida tu kwa seneta kama huyo kuwa against na Israel.


Swali langu bado lipo palepale.
 

Hata kama mataifa yote makubwa yangeungana kumpinga Israel hawatafanikiwa. Ni kama mbwa 100 kujiunga kumng'ata tembo. Nothing.

Israel ni dude kubwa duniani
 
Hata kama mataifa yote makubwa yangeungana kumpinga Israel hawatafanikiwa. Ni kama mbwa 100 kujiunga kumng'ata tembo. Nothing.

Israel ni dude kubwa duniani
Kwa akili hizo hatushangai wachungaji wa kikristo wakiwatumia watu kama nyinyi kuwa mtaji, na hatutoshangaa kanisa la irene uwoya kupata wafuasi wengi ,wajinga hawaishi duniani , jitahidi upate elimu na wakati mwingine ni bora ukae kimya ufiche ujinga wako
 
Put in ataingia vitabu gani wakati ndio amefund hili tukio pitia Iran
 
Wewe acha hasira Mbwa kumbwekea Simba. Pinga kwa hoja na siyo kubwabwaja tu. Nimekuambia Israel ni dude kubwa haya nipinge kwa hoja kama si dude kubwa.
1. Ni taifa lenye wastani wa raia m 6 pale mashariki ya kati ina linazisumbua zaidi ya nchi 20 zilizoko pale kuanzia lilipoundwa mwaka 1948.

2. Israel ni dude kubwa duniani kwa sababu wayahudi wameenea karibia kila pembe ya dunia na kila mahali walipo wana nguvu kwa nyanja zote hususan Marekani na ndio maana inakuwa vigumu Marekani kwenda against na Israel.

Ukiacha ushabiki utakuwa na akili sana
 
Dude hilo linaanza kumun"gunyuka
 
Sio hamasi??🎤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…