Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

Aende sahivi akasambaze maji hivyo hivyo na yeye asambaziwe tena makombora
 
Msumari wa mwisho huu hapa, maana Waliitumia Iraq Kama uchochoro Sasa Iran kaingia Iraq, wameanza kupiga yowe

🇮🇶🇺🇸⚡The Iraqi Embassy in Washington responded to the US State Department's statement regarding the Iran-Iraq security pact signed during Larijani's visit to Iraq:

Iraq is a fully sovereign state.

Iraq has the right to conclude agreements and memorandums of understanding according to the provisions of its constitution and laws and is not subject to the policy of any country.

The security agreement with Iran comes within the framework of bilateral cooperation to maintain security and control the borders.
 
Iran atengeneze nuclear bomb halafu ashindwe kuchimba visima vya maji hebu ondoeni hizi propaganda za Israel hapa.
Hujasema article ? Maji hamna na septermber mvua zisiponyesha watu watachambia magazeti, na serikali haijui la kufanya
 
W

Wairani sio wapumbavu kma nyie black people wenye mihemkoo ya kijinga
Wanamaliza matatizo yao wenyewe
Ndio wamekwama Raisi keshatangaza kuwa Maji ni Janga la Taifa lao, wewe huna huruma?
 
Hujasema article ? Maji hamna na septermber mvua zisiponyesha watu watachambia magazeti, na serikali haijui la kufanya
Habari za kuchambia magazeti tubaki nazo sisi huku ushenzini ambako Bado tunapokea misaada kutoka Iran.
 
Ndio wamekwama Raisi keshatangaza kuwa Maji ni Janga la Taifa lao, wewe huna huruma?
Asa watamaliza wenyewe hilo tatizo ndio maana hawaandamani kumpinga kiongozi ila wanataka maji
 
Iran IPO kwenye Hali mbaya ya ukame,nchi imechoka sanaa na ukame na UMEME wao pia umekuwa wa mgao
 

Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijiji Wananchi wa Iran waamue​




View: https://twitter.com/i/status/1955304279465468273

Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema.

Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam wakuu wa maji wa Israeli watafurika katika kila mji wa Irani wakileta teknolojia ya hali ya juu na ujuzi." Alichora picha wazi za maziwa yaliyorejeshwa, mito inayotiririka, na mbuga zilizochangamshwa. "Fikiria maji yakiteleza tena kwenye Bwawa la Karaj... Hebu fikiria kurejesha Ziwa la Urmia lililokuwa zuri kaskazini-magharibi mwa Iran."

Netanyahu alishutumu uongozi wa Iran kwa kuweka "udhalimu na umaskini" kwa raia wake, kuelekeza mamia ya mabilioni ya dola kwa Hamas, Hezbollah, na Houthis badala ya kufadhili mahitaji ya ndani. "Hustahili viongozi wanaokimbia nchi huku ukiteseka peke yako wakati wa vita ngumu," alisema.

Netanyahu anatoa wito kwa Wairani kuinuka, kuwawajibisha uongozi fisadi
Akitoa wito kwa Wairani "kuingia mitaani" na "kuandamana dhuluma," Netanyahu aliwataka kudai haki na uwajibikaji. "Msiruhusu mullah hawa washupavu waharibu maisha yenu kwa dakika moja zaidi," alisema.

"Hauko peke yako. Israeli inasimama nawe. Ulimwengu wote huru unasimama pamoja nawe."

Netanyahu alimalizia kwa kutumia msemo maarufu wa Theodor Herzl: “Ukipenda, si ndoto.” Akiitumia Iran, alisema, "Ukipenda, Iran huru si ndoto. Sasa ni wakati wa kuchukua hatua. Sasa ni wakati wa kupigania uhuru."

NETANYAHU is a strongest mind
 
Yeye kwanza awacha omba omba bila USA wangeishi vipi hawa makenge
 
Yeye kwanza awacha omba omba bila USA wangeishi vipi hawa makenge


Wewe kweli umepungukiwa maarifa. Hivi unaujua uchumi wa Israel? Hata tuichukie Israel vipi, hatuwezi kuubadilisha ukweli kuwa hakuna nchi yoyote ya Afrika au Mashariki ya kati inayoifikia kwa maendeleo ya teknolojia.
Kwenye upande wa uchumi, angalia ukweli huu:
Israel GDP $583.36 bilioni
Iran GDP$451.33 bilioni

Israel Per capita $57,760
Iran per capita $3,900
Saudia per capita$33,291
Turkey per capita$15,070
UAE per capita$51,290
Egypt per capita$3,174
Russia per capita$14,260
USA per capta$ 89,105

Wayahudi ni wachache sana, nchi ndogo sana, lakini kitekinolojia na kiuchumi inaikimbiza Dunia.
 
Wewe kweli umepungukiwa maarifa. Hivi unaujua uchumi wa Israel? Hata tuichukie Israel vipi, hatuwezi kuubadilisha ukweli kuwa hakuna nchi yoyote ya Afrika au Mashariki ya kati inayoifikia kwa maendeleo ya teknolojia.
Kwenye upande wa uchumi, angalia ukweli huu:
Israel GDP $583.36 bilioni
Iran GDP$451.33 bilioni

Israel Per capita $57,760
Iran per capita $3,900
Saudia per capita$33,291
Turkey per capita$15,070
UAE per capita$51,290
Egypt per capita$3,174
Russia per capita$14,260
USA per capta$ 89,105

Wayahudi ni wachache sana, nchi ndogo sana, lakini kitekinolojia na kiuchumi inaikimbiza Dunia.
Hebu tupe Qatar per capital afu hio table ni ya mwaka gani.
 
Ndio wamekwama Raisi keshatangaza kuwa Maji ni Janga la Taifa lao, wewe huna huruma?
Rais wao wa Iran Pezeshkian: ametamka Iran haina tena uchaguzi ila kuhamisha mji mkuu wake kutokana na kuwa na upungufu mkubwa wa maji
 
Netanyahu ni mchawi, muuaji mwenye kiu ya hali ya juu ya Damu za watu. Msiruhusu kabisa hizo porojo zake
Kama uliwahi ishi iran anachokisema huyo netanyahu ni sahihi sana na ile vita ya juzi imezidi kuporomosha pesa yao thamani yake.......jamaa wanatumia dirham kama pesa kuu na sio iranian rial😁😁
 

Attachments

  • Screenshot_20251122_191214_iCurrency.jpg
    Screenshot_20251122_191214_iCurrency.jpg
    39.9 KB · Views: 13
Back
Top Bottom