Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.

View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Si juzi mlisema kuwa amejeruhiwa Vibaya Sana na atakufa anytime? Inakuaje tena Leo? malaria
 
Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.

View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Songa ugali ule we dogo

Hayo madude unayoshabikia yatakupa kisirani tu halafu uje uanze kuitukana mama tanzania
 
Kidume anapambana na mataifa 4 kwa wakati mmoja ya Lebanon, Syria, Yemen na Iran pamoja na wavamizi wa Palestina.

GOD BLESS ISRAEL
Kidume yupi anayeangalia muvi chumbani kwa Biden, Jordan na umoja wa Ulaya?
 
Vipi Netanyahu ameshafariki?
BREAKING: Mohammad Bagheri, Mkuu wa Wafanyakazi wa Majeshi ya Iran:

"Tulilenga vituo vitatu muhimu vya anga, ikiwa ni pamoja na Ikulu ya Mossad na ile inayohusishwa na mauaji ya Nasrallah. Raia hawakupigwa, lakini shambulio lolote la siku zijazo dhidi ya uhuru wetu litaona miundombinu yao yote muhimu ikipigwa.
 
Wanaume wanatafuta wanao jidai wanaume kuwapiga direct, lakini mashoga yanawakimbia wanaume yanaenda kuwauwa watoto na wanawake.

Iran wanaume wamepiga Military and Strategy place.
Eti kila jiko na sebule Lebanon zina makombora😅😅😅 mashoga bana
 
Back
Top Bottom