Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Video imeachiwa: Benjamin Netanyahoo ameonyesha uwezo kukimbiza kiwiliwili kama swala baada kupewa taarifa za ujio wa ugeni toka ghuba ya uajemi ( Iran) 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Netanyahu_is_dashing_to_the_bunker_as_Iranian_hypersonic_missiles_launch_https___t.co_1h5NH0W1qa.mp4
    1.1 MB
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Video imeachiwa: Benjamin Netanyahoo ameonyesha uwezo kukimbiza kiwiliwili kama swala baada kupewa taarifa za ujio wa ugeni toka ghuba ya uajemi ( Iran) 🤣🤣🤣
Wavaa kobazi mmetaitiwa mpaka kwenye mahandaki
 
Wanazi wa hivi vita mnaniacha hoi kiukweli aisee
 
Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.

View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kiboko yenu huyo hapo mliyesema kakimbia. Babu yenu Khamenei lazima atakuwa anajikojolea sasa hivi

View: https://x.com/MOSSADil/status/1841214899923333476
 
Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.

View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

1000338863.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Video imeachiwa: Benjamin Netanyahoo ameonyesha uwezo kukimbiza kiwiliwili kama swala baada kupewa taarifa za ujio wa ugeni toka ghuba ya uajemi ( Iran) 🤣🤣🤣
Jana mlituambia amejeruhiwa vibaya Kwa kombora, Leo mkatuambia amekimbia Israel baada ya kusikia nguruwe kutoka Iran kwahiyo hiyo video anakimbia akiwa wapi wakati Jana alijeruhiwa na yuko.. hivi Huwa mnawasiliana na ubongo kabla ya kuandika😄😄
 
Hapa patamu kweli tuone atafanya nini sasa. Hizo ndege ndio alikuwa anajisifia zitapiga Iran kwisha habari yake Iran wamecheza vizuri hapo.
Huyo hapo anachukua vipimo vya Ayatollah kwa ajili ya Jeneza lake
Screenshot_20241002-002305_Chrome.jpg
 
Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.

View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nasikia usipohudhuria swala msikitini hauunganishwi kwenye group linalotoa hizi picture na videos zenu.
 
Na sasa manati za punga iran zimetunguliwa zote aisee muajemi bure kabisaa hii tena basi vijimanati hivyo katengenezewa na nchi tatu n.korea, china na russia na bado haziui hata mende
Shoga Iran lina kazi ya kujisifu nimerusha ballistic 150 mimi😂🤣
Idadi ya mashoga walioko Israel ni kubwa kuliko Iran 🇮🇷

Hilo la kudunguaa mabomu sisemi
 
mishoga imejaa mno Iran mpaka jeshini mpaka inarusha vijikombora kiupinde upinde na hakuna madhara yoyote ya maana. Iran kuanzia hayatol, rais mawaziri wote mashoga
 
Kesho au kesho kutwa ayatollah mnazika zingatia hili
Huruma sana huyu babu kajichimbia kaburi lake mwenyewe hawa jamaa ukiwabeep wao hawabeep wanapiga usipopokea wanapiga tena mpaka upokee na ukipokea wanakupigia tena huruma kibabu Ayatolah ndio kinaenda na maji hivyo km utani
 
Round-up of verified Iran ballistic missile strike videos:

1. A strike in Glilot, Tel Aviv, possibly near Mossad headquarters, verified by @TwistyCB (POV: 32.162814, 34.814391)
 
Back
Top Bottom