Huyu waziri mkuu wa taifa feki la machoko kakimbilia Iñdia kutafuta vibarua wa jeshi ili kupambana na Hezbollah ,eti wafanyakazi , wafanyakazi my ass ! ,Wanaleta cheap labour ili kuzivalisha magwanda na kuzipeleka front line kwa vile machoko hayawezi kupigana , Israel wana hali mbaya mno kama wasipokaa na kujitafakari upuuzi wanaofanya..,
Kwanini wasikubali two states solution kama ilivyowahi pendekezwa na UN ?
Jibu mtakuwa nalo ,ni ulafi wa ardhi wa hayo mazayuni , serikali yao ni ya kijambazi na walowezi inazidi kuimport walowezi na hao majambazi toka Marekani na ulaya ,wanalipwa kila kitu na hiyo serikali haramu ili kuja kupora ardhi za wapalestina na kuzikalia kimabavu na wapalestina wanao resist wanauawa kabisa ,tena chini ya usaidizi wa IDF ..
Hii ni nini kama sio ethnic cleansing na genocide ya kimya kimya , na hata ni matukio ya kila siku ,yanayotokea dhidi ya wapalestina .
Wapalestina wakifanya rebellion na harakati za kupambana na hiyo hali wanakuwa labeled magaidi .
Halafu mjinga mmoja anawatetea hawa wauaji