Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

Mashoga wa hezbollah wanapigwa hukoo
 
Saidieni kusambaza habari kuwa mungu w iran kafika tell viv kaja kumpasua jehova lkn kakimbia kwaiyo saidieni kumtafuta uko uyui mkimuona kwamtonga msoero kibat tafuteni jehova akajibu mashtaka. Mungu w irani anatamba Jerusalem kila kona mwejeji ayupo haaaaa anazingua bhana !!
 
Wavaa kobazi wamempa za uso Israel na mimi ni shuhuda tu hapa japo nachukia vita
 
Iran was targeting military sites but Israel stores weapons and military structures between civilians.

They are all legitimate targets per Israel's own standard. Israel is using human shields.
 
Wewe ungekuwa na akili ungevaa msalaba wa mbao kilo 15 na kukaombq kasananu ka Bikira Maria kakusamehe makosa yako😅

Just few days ahead you won’t believe how US and Israel are going to make most brutal response you never seen, Iran has come to its end..!!

White House is doing Press Briefing, Ayatollaah will perish sooner:.!!
 
Wajukuu wa iran na Israel mnapambana
 
Just few days ahead you won’t believe how US and Israel are going to make most brutal response you never seen, Iran has come to its end..!!

White House is doing Press Briefing, Ayatollaah will perish sooner:.!!
Unamyishia nyau samaki?
.
Hakuna Muislam asiyejuwa kuwa kufa shahid ni bora kuliko kuishi hukubunatemewa nakohozibkama wakristo wanavyofanyiwa na mazayuni.
 
Screenshot_20240929-102628_1.jpg
 
Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.

View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nasikia yuko ndani ya himaya ya Putin, Klembrin.
 
Kwa nini wakati yuko kwenye Mabanka ardhini,mahali ambapo hata Ballistic hawezi kupenya?
Waisrael wote walioko Israel wako kwenye Shelters!
 
Unamyishia nyau samaki?
.
Hakuna Muislam asiyejuwa kuwa kufa shahid ni bora kuliko kuishi hukubunatemewa nakohozibkama wakristo wanavyofanyiwa na mazayuni.

Muarabu pori katika ubora wake. Wee hujui katika kuruwan usipokuwa muarabu, halafu unajifanya muisilam, ni sawa na kujilisha upepo. Maana wanasema, heri kuwa na shehe mlevi, kuliko kuwa na shehe muafrika.
 
Back
Top Bottom