Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

Uto..chalii.jpg
 
Ayatollah himself will be eliminated this time. Hatimaye ameingia kwenye target. Hawa jamaa wakikutaka wanakutafutia kisababu kwa ajili ya justification tu. Let the game of chess kati ya Mossad na Ayatollah ianze sasa na akizubaa tu anakwenda kufaudu mabikra 72 na akina Nasrallah sasa hivi!
 
Mungu wa kisrael yupo wqpi mbona kawaacha taifa teule jehova kambiq nayy kweli ironi anatisha. Mungu w Iran ndio mkuu yeye ndio m'babe ashindwi. Jehova kasepa mkimuona uko itigi mwambieni anatafutwa na mungu w Iranian shubamit,
 
Kila hotoba yake anataja Iran tu kakimbia taifa teule😀
Wanalia oh Iran anataka kuwauwa watu Million 10 wa Israel wakati Iran hakupiga hata majumba yote kapiga military target. Wao wanadhani vita ni kuwauwa watu na kuvunja majumba ya civilian. Mimi nilitaka Iran apige missile 50 kwenye hayo majumba yao haswa kwenye high scraper building 😄
 
Kaondoka mida ya saa 10 jioni majira ya Tel Aviv huyu jamaa hafai kuwa kiongozi. Unakimbiaje Wananchi wafe wewe unaenda kujificha
Bibi yupo India kwa ziara ya kikazi. Naona amefanyaazungumzo na mwenye wake Nendra kuhusu wanyakakazi Toka India kwenda Israel
 
Mungu wa kisrael yupo wqpi mbona kawaacha taifa teule jehova kambiq nayy kweli ironi anatisha. Mungu w Iran ndio mkuu yeye ndio m'babe ashindwi. Jehova kasepa mkimuona uko itigi mwambieni anatafutwa na mungu w Iranian shubamit,
Huyo Mungu wa Iran alikuwa wapi wakati Israel inamuua Nasrallah, wakati inashambulia vitu vya Nyuklia vya Iran, wakati unajua makamanda kibao wa Iran, wakati inamuua Kamanda la magaidi ya Hamas Tena mji mkuu wa Iran, wakati rais wa Iran anakufa, au alikuwa amesinzia au alijificha kukimbia msala😁😁😁 mafanikio ya Iran na magaidi wenzao ni kufanikisha kurusha kombora uelekeo wa Israel hata kama limetua baharini kwao ni mafanikia, meanwhile Israel ikilipiza inaua nguruwe na viongozi wao
 
Huyo Mungu wa Iran alikuwa wapi wakati Israel inamuua Nasrallah, wakati inashambulia vitu vya Nyuklia vya Iran, wakati unajua makamanda kibao wa Iran, wakati inamuua Kamanda la magaidi ya Hamas Tena mji mkuu wa Iran, wakati rais wa Iran anakufa, au alikuwa amesinzia au alijificha kukimbia msala😁😁😁 mafanikio ya Iran na magaidi wenzao ni kufanikisha kurusha kombora uelekeo wa Israel hata kama limetua baharini kwao ni mafanikia
⚡️BREAKING: CNN admits Israel's Mossad HQ is in a "densely populated area [in Tel-Aviv]... with civilians around it"

Using Israel’s logic: Tel Aviv is a legitimate target and Israel IS USING HUMAN SHIELDS, Iran is only targeting military bases.

Video: @muhammadshehad2
 
Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.

View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ritz is a dead walking man, your brain has lost even a little memory can’t recall anything..!!

Hivi kobaz wote akili hakuna kweli? Iran inaweza mpiga nani? Hata katika historia yoyote wapi Iran ina uwezo wa kupigana vita?

Soon Iran itakuwa majivu na kupotea kabisa like Iraq, Syria au Lebanon
 
Wewe ungekuwa na akili ungevaa msalaba wa mbao kilo 15 na kukaombq kasananu ka Bikira Maria kakusamehe makosa yako😅
 
Back
Top Bottom