Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Baada ya hii wakavurugwa.Hi habari sidhani kama kweli ni propoganda za Israel tu, sababu Hamas anawapelekea moto si wakawaida ndio wamekuja na huo uwongo. Hao Taliban watapita wapi mpaa wafike Gaza.
Afu ni Israel ndio anasema hayo si Hamas au Taliban
wazayuni ni balaa wamelamba stock ya silaha zote za usa .. ndo kimya kimya wanaaza kuona usalama wa nchi yao upo hatarini na china amepiga pin rear earth metal zinzotumika kwenye missle production . Ukiona usa anavyohangaika kumaliza vita ya ukrain ili wapumua ndo utajua maji yapo shingoniNetanyau anaomba ceasefire na Houthis😂
Kawaambia atawaudhia ila baada ya miezi 6 ndio kisa cha Tramp kuacha Vita vya Uchumi na China Tramp katupa taulo!!wazayuni ni balaa wamelamba stock ya silaha zote za usa .. ndo kimya kimya wanaaza kuona usalama wa nchi yao upo hatarini na china amepiga pin rear earth metal zinzotumika kwenye missle production . Ukiona usa anavyohangaika kumaliza vita ya ukrain ili wapumua ndo utajua maji yapo shingoni
Vikosi vya Urusi vimechukua mgodi katika eneo la Donetsk mashariki mwa Ukraine, na kuinyima nchi hiyo mali muhimu ambayo ingeweza kusaidia kuunga mkono ushirikiano mpya wa kiuchumi na Marekani. Trump kachukia sana alikiwa anajua anamaliza vita wanaenda kuchimba madini, Putin alikuwa anamchora tu 😂Kawaambia atawaudhia ila baada ya miezi 6 ndio kisa cha Tramp kuacha Vita vya Uchumi na China Tramp katupa taulo!!
kikubwa aya Madini ya REAR EARTH METAL ndio yamemtoa Tramp kwenye reli ya Vita ya Uchumi na China baada China kutambua ilo na ikazuiya kuwauzia,
, yule mkenya 254 kuna siku alikuja na UZI kuwa Marekani Wamegundua ayo Madini ndani ya Marekani !!
chakushangaza tunaona Marekani bado inakokotwa na China kwenye ayo Madini
Putin naye hataki vita viishe hivi kama Trump alivyokuwa anajidanganya kuwa anamaliza hivyo vita ndani wiki.wazayuni ni balaa wamelamba stock ya silaha zote za usa .. ndo kimya kimya wanaaza kuona usalama wa nchi yao upo hatarini na china amepiga pin rear earth metal zinzotumika kwenye missle production . Ukiona usa anavyohangaika kumaliza vita ya ukrain ili wapumua ndo utajua maji yapo shingoni
Nakumbuka Putin alisema kuwa wkt Tramp na zelensky wapo kwenye kufunga mkataba Putin alisema hayo mazungumzo yenu mm siyatambui mtajuana wenyewe !!Vikosi vya Urusi vimechukua mgodi katika eneo la Donetsk mashariki mwa Ukraine, na kuinyima nchi hiyo mali muhimu ambayo ingeweza kusaidia kuunga mkono ushirikiano mpya wa kiuchumi na Marekani. Trump kachukia sana alikiwa anajua anamaliza vita wanaenda kuchimba madini, Putin alikuwa anamchora tu 😂
Wanaukumbi.
Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe.
"FANYA MAKUBALIANO NA GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii.
Malengo ya vita vya Gaza ilikuwa ni kuwamaliza Hamas na kuwakomboa Mateka wote kuwarudisha nyumbani. Netanyahu kashindwa kuwamaliza Hamas wala kuwapata Mateka wa Israel.
Baada ya kushindwa vita akabakia kuuwa watoto na wanawake na kuwapiga risasi raia ambao wanasubiri misaada ya vyakula.
Marekani kachoka kutoa silaha hajui vita vina malengo gani, Trump kaingilia kati tena na kumwambia Nentanyahu, huwezi kuwamaliza Hamas wala kuwaokoa Mateka, lazima tukae na Hamas tumalize vita Mataka warudi nyumbani.
Malengo yao vita vya Irana yalikuwa ni kwenda kuharibu vinu vya nukilia, kuangusha utawala wa Ayatollah na kuilazimisha Iran kusaini makubaliano ya amani na Israel kama walivyo fanya Misri na Jordan lakini yote yamegonga ukuta wamejikutana wanazoa kifusi Tell Aviv, Haifa na miji migine.
Marekani isingeingilia hii vita. ballistic za Iran zingeendelea kurushwa ndani ya miezi michache tu waisrael wote wangeikimbia nchi yao.
President Trump on Sunday called for a deal on Israel’s war in Gaza and the hostages held in the territory to be released. “MAKE THE DEAL IN GAZA. GET THE HOSTA… Source: The Hill Trump calls for deal on war in Gaza, hostages’ return
UP DATE…….
View: https://x.com/suppressednws/status/1941442907489305052?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Tunataka wale 72 tuongezeee nguvuMuongeze na Bikira Maria 😂