Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Hi habari sidhani kama kweli ni propoganda za Israel tu, sababu Hamas anawapelekea moto si wakawaida ndio wamekuja na huo uwongo. Hao Taliban watapita wapi mpaa wafike Gaza.
Afu ni Israel ndio anasema hayo si Hamas au Taliban