Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 57,035
- 46,479
Sujui una umri gani, Toka taifa la Israel liundwe alijawahi kuchezea kipigo kama walichopataMtu anatwanga vinu vyako vya nuklia, anaua makamanda waandamizi wote, anaua wanasayansi nguli wote halafu anakuita mezani muyamalize. Unakuja kushangilia kuwa amesarenda!
Ushindi hautetewi kwa nguvu hizo zote, unajidhihirisha wenyewe. Kama ni idadi ya majeneza itaonekana tu, wala haihitaji kutangazwaSujui una umri gani, Toka taifa la Israel liundwe alijawahi kuchezea kipigo kama walichopata
Makombora ya Iran yapiga Gush Dan, Petah Tikva, Ramat Gan, Holon na Tel Aviv, Haifa, na maeneo mengine tena wamepiga target, kombora linasafiri Dar to Mwanza wrewe huogopi? Wewe usali kwa Mwamposa au kwa Gwajima?
Iran imepiga…
🟢 1. Kiwanda cha Umeme cha Hadera
Moja ya mitambo mikubwa ya umeme nchini Israel, iliyoko kaskazini mwa Tel Aviv.
🟢 2. Msingi wa Kiriya
Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Israeli (Kamanda wa Kijeshi).
🟢 3. Kituo cha Kuhifadhi Mafuta ya Haifa
Kituo kikuu cha kuhifadhi mafuta na nishati kaskazini mwa Israeli, muhimu sana kwa usafiri wa anga na usafiri.
🟢 4. Kiwanda cha Umeme cha Haifa
Miundombinu ya nishati inayokata umeme kaskazini mwa Israeli.
🟢 5. Nevatim Air Base
Kambi ya kijeshi ya jeshi la anga ya F-35 kusini mwa Israel.
🟢 6. Uvda air base
Kituo cha amri, udhibiti na shughuli za kijeshi za kielektroniki.
🟢 7. Tel Nof Air Base
Kambi ya kijeshi ya kimkakati ya anga ya Israeli.
🟢 8. Jalil Base
Kituo cha kijeshi kaskazini mwa Israeli.
🟢 9. Miundombinu ya bandari za Haifa
Vituo vya mafuta na baharini na besi za Israeli.
🟢 10. Kituo cha Sayansi cha Weizmann
Moja ya vituo muhimu zaidi vya utafiti nchini Israeli.
🟢 11. Mji wa viwanda wa Kiryat Gat
Kituo cha teknolojia na tasnia, pamoja na viwanda vya semiconductor.
🟢 12. Wizara ya Ulinzi ya Israeli
Kituo kikuu cha amri na mipango ya kimkakati ya kijeshi.
🟢 13. Kituo cha Utafiti wa Nyuklia cha Israeli
Eneo la kimkakati katika eneo la Tel Aviv.
🟢 14. Kampuni ya Rafael huko Haifa
Msambazaji wa mifumo muhimu ya ulinzi kwa Israeli.
🟢 15. Msingi 8200
Israel Cyber Operations and Evesdropping Center.
🟢 16. Makao Makuu ya Mossad
Huduma ya ujasusi ya Israeli.
Hakuna air defense inayo weza kuzizuia Missiles za Iran.
Baada ya hicho kipigo unamuomba mkae meza moja hapo mwanzo ulikuwa unamuita Gaidi leo unakaa meza moja na Gaidi.
Usiwe punguani kijana
Huna hoja we jamaa, mwenzako ameleta hoja wewe unaleta mipasho.Ushindi hautetewi kwa nguvu hizo zote, unajidhihirisha wenyewe. Kama ni idadi ya majeneza itaonekana tu, wala haihitaji kutangazwa
Kashajua chezo zito kwake katema bungo.!!Jana waandishi wa habari wanamuuliza Trump vipi mpango wa kuwahamisha Wapalestina anajibu hilo swali muulizeni Netanyahu😂
Vikosi vya Yemen vimetoa picha zinazoonyesha uvamizi na uharibifu wa shehena kubwa ya MAGIC SEAS kwa kukiuka vikwazo dhidi ya Israel.
View: https://x.com/hehe_samir/status/1942632865180835973?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wametumia mbinu ya Ugaidi Sisi tulidanganywa sana kuwa Israel inamaguvu kumbe ndio izi za KIGAID. Unavizia mtu kalala kiboom haaaaa taifa teule kumbe MAGAID tu.Mtu anatwanga vinu vyako vya nuklia, anaua makamanda waandamizi wote, anaua wanasayansi nguli wote halafu anakuita mezani muyamalize. Unakuja kushangilia kuwa amesarenda!
Sasa ulidhani vitani utaelezwa mbinu za kukupiga?Sisi tulidanganywa sana kuwa Israel inamaguvu kumbe ndio izi za KIGAID. Unavizia mtu kalala kiboom
Wahouthi awataki Aman yoyote😂😂 BREAKING:
Israel inasema Wahouthi lazima wakome kurusha makombora dhidi ya Israel baada ya kusitisha mapigano na Hamas.
We kenge hivi unajua ku intercept Missiles ina cost ngapi? Au unajitoa akili kwa tarifa yako ukitumia Dome interceptors ina cost around $50,000 each, while David's Sling can cost $700,000 per interception, and Arrow 2 and Arrow 3 interceptors can cost between $3 million and $4 million each.Kwa Sasa Gaza sio Jiji Tena ni magofu
Unatumia mamia ya makombora yenye thamani ya madola kubomoa apartment za raia
Mwenzako kuua viongozi na wanasayansi muhimu kwa ndege zake zilizorudi salama kwa future use
Kujenga apartment na kutengeneza makombora ni ipi gharama kubwa ?
Akili kwenye vita ni jambo la muhimu Sana
Ndugu hao wao hio ICC wanaitumia kwa kudhuru wafrica na warabu tu 😄