Netanyahu; Malengo yake ya vita Iran kashindwa, ameshindwa tena Palestina amerudi kukaa meza moja na Hamas kamaliza vita

Hakuna Israel alicho fanikiwa mpaa nchi zote sa wameisha muona ni media tu zilimkuza na propoganda za West. Target gani alio fanikiwa hakuna zaidi ya kuwavizia watu walikuwa hawajui kama kuna vita mfano wale macommader walio uliwa siku ya kwanza ya vita, tena kwa kutumia watu waliokuwa recruited na Mossad. Miaka 20 wamejiandaa kumpiga Iran nawamefailed vibaya sana. Ndege zao zilikuwa zinatokea Azerbaijan wanajidai zilikuwa zikitokea Israel karibu 75% zilitokea Azerbaijan na 15% kwenye nchi za Gulf states ni 10% zilitokea Israel tena zilipitia Jordan, Iraq na Syria. Israel hana lolote mbele ya Iran.
Israel Huwa Ina specific target na imefanikiwa kwa asilimia kubwa
Makamanda wakubwa
Wanasayansi wa nyuklia
 
Wanaukumbi.

Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe.

"FANYA MAPENZI GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii.

Malengo ya vita vya Gaza ilikuwa ni kuwamaliza Hamas na kuwakomboa Mateka wote kuwarudisha nyumbani. Netanyahu kashindwa kuwamaliza Hamas wala kuwapata Mateka wa Israel.

Baada ya kushindwa vita akabakia kuuwa watoto na wanawake na kuwapiga risasi raia ambao wanasubiri misaada ya vyakula.

Marekani kachoka kutoa silaha hajui vita vina malengo gani, Trump kaingilia kati tena na kumwambia Nentanyahu, huwezi kuwamaliza Hamas wala kuwaokoa Mateka, lazima tukae na Hamas tumalize vita Mataka warudi nyumbani.

Malengo yao vita vya Irana yalikuwa ni kwenda kuharibu vinu vya nukilia, kuangusha utawala wa Ayatollah na kuilazimisha Iran kusaini makubaliano ya amani na Israel kama walivyo fanya Misri na Jordan lakini yote yamegonga ukuta wamejikutana wanazoa kifusi Tell Aviv, Haifa na miji migine.

Marekani isingeingilia hii vita. ballistic za Iran zingeendelea kurushwa ndani ya miezi michache tu waisrael wote wangeikimbia nchi yao.

President Trump on Sunday called for a deal on Israel’s war in Gaza and the hostages held in the territory to be released. “MAKE THE DEAL IN GAZA. GET THE HOSTA… Source: The Hill Trump calls for deal on war in Gaza, hostages’ return
Kwa Sasa Gaza sio Jiji Tena ni magofu

Unatumia mamia ya makombora yenye thamani ya madola kubomoa apartment za raia

Mwenzako kuua viongozi na wanasayansi muhimu kwa ndege zake zilizorudi salama kwa future use
Kujenga apartment na kutengeneza makombora ni ipi gharama kubwa ?

Akili kwenye vita ni jambo la muhimu Sana
 
Ukiweka Dini pembeni hakuna kosa kubwa liliofanywa na Viongozi wa Hamasi kuishambulia israel!!!! Viongoz wao wote wamekufa, famia zao, wananch wao, majengo na miji..... sasa wamebaki kama wakimbizi na Gaza haiwezi kua sawa tena. I mean haiwezi kua mikononi kwa Hamasi tena
 
Wanaukumbi.

Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe.

"FANYA MAPENZI GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii.

Malengo ya vita vya Gaza ilikuwa ni kuwamaliza Hamas na kuwakomboa Mateka wote kuwarudisha nyumbani. Netanyahu kashindwa kuwamaliza Hamas wala kuwapata Mateka wa Israel.

Baada ya kushindwa vita akabakia kuuwa watoto na wanawake na kuwapiga risasi raia ambao wanasubiri misaada ya vyakula.

Marekani kachoka kutoa silaha hajui vita vina malengo gani, Trump kaingilia kati tena na kumwambia Nentanyahu, huwezi kuwamaliza Hamas wala kuwaokoa Mateka, lazima tukae na Hamas tumalize vita Mataka warudi nyumbani.

Malengo yao vita vya Irana yalikuwa ni kwenda kuharibu vinu vya nukilia, kuangusha utawala wa Ayatollah na kuilazimisha Iran kusaini makubaliano ya amani na Israel kama walivyo fanya Misri na Jordan lakini yote yamegonga ukuta wamejikutana wanazoa kifusi Tell Aviv, Haifa na miji migine.

Marekani isingeingilia hii vita. ballistic za Iran zingeendelea kurushwa ndani ya miezi michache tu waisrael wote wangeikimbia nchi yao.

President Trump on Sunday called for a deal on Israel’s war in Gaza and the hostages held in the territory to be released. “MAKE THE DEAL IN GAZA. GET THE HOSTA… Source: The Hill Trump calls for deal on war in Gaza, hostages’ return
Nyie waislamu mnakaakaa tu mnaota Israel, Israel! Na atawakomesha mpaka Shetani wenu allah aseme poa. Na sasa ngome ya wairan wenu inaporomoka tu. Xi huko China hakieleweki na karibuni hata Putin naye ataangukia pua; mwaka huu hauishi

View: https://youtu.be/bNRZgWxRW2Q?si=rXcAOKdI6Z1TbR31
 
Angalia huyu punguani Waislam wapo around 2 billion, duniani wewe bwege 1 mmoja ukiwachukia si vichekesho😂
 
Ayatollah alifanya makosa sana kupiga kama anapigana na mtoto ilitakiwa apige kubwa takatifu iwe fundisho
 
Angalia huyu punguani Waislam wapo around 2 billion, duniani wewe bwege 1 mmoja ukiwachukia si vichekesho😂
Wewe kaa na upumbavu wako wa shetani wenu allah! Xi, mbioni kuondoka; Putin ndo huyo anatapatapa, sasa hivi ataka kujichanganya huko Azerbaijani. Ayatollah ndo huyo mdogo mdogo anaondoka labda aende akat*mbe vitoto vidogo
Screenshot_20250706_171304.jpg

Huko Palestina ndo hivyo tena Masheikh wa Hebron wameona kaallah ni katapeli afadhali wajumuike kwenye Abraham Accord wafanye amani na Israel badala ya ndoto zenu za Quran ya shetani za two states. Mwaka huu ni wenu waislamu wa manzese kuachwa solemba. Kaallah ni fake, Mohammad ndo hivyo kumbe alikuwa ms*ng Al Zuti walimfanya kitu mbaya ( Hadith zenu wenyewe zinatuambia)
 
Malengo ya Israel kuishambulia Iran hayakuwa kuua raia wa Iran. Ilikuwa ni kui disable Irani Kinyuklia. Na ndo maana alikuwa anapiga maeneo muhimu.
1. Amepiga vinu vya kinyuklia na miundo mbinu yake
2. Ameua makamanda na wanasayansi.

Amemaliza kazi ambayo aliitaka. Hayo mengine SISI TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUJIBEMBELEZA. TISHIO LA ISRAEL NA NEYANYAU ILIKUWA NI SILAHA ZA NYUKLIA. KAMA IRAN HANA HIZO WALA. ISRAEL HANA TATIZO NAYE. LAKINI PIA AMETUONESHA KUWA IRAN SI KAMA AMBAVYO TULIDHANIA. IRAN HAWAPO VIZURI. WAMEUAWA WATU WAKUBWA SANA NDANI YA NCHI YAO. NI AIBU.

MENGINE TUENDELEE KUJIFARIJI NA KUMSIKILIZA SHEIKH KITINKU ANAPOTUPANGA. HAYATOLLAH KHAMEIN ALISHASEMA HATAKI TENA ISHI MAISHA YA KUHAMA HAMA MASHIMO.
West media imekumezesha ukashiba
 
Wewe kaa na upumbavu wako wa shetani wenu allah! Xi, mbioni kuondoka; Putin ndo huyo anatapatapa, sasa hivi ataka kujichanganya huko Azerbaijani. Ayatollah ndo huyo mdogo mdogo anaondoka labda aende akat*mbe vitoto vidogo
View attachment 3396538
Huko Palestina ndo hivyo tena Masheikh wa Hebron wameona kaallah ni katapeli afadhali wajumuike kwenye Abraham Accord wafanye amani na Israel badala ya ndoto zenu za Quran ya shetani za two states. Mwaka huu ni wenu waislamu wa manzese kuachwa solemba. Kaallah ni fake, Mohammad ndo hivyo kumbe alikuwa ms*ng Al Zuti walimfanya kitu mbaya ( Hadith zenu wenyewe zinatuambia)
Sasa hao wazayuni wanalawiti wapalestina wala hauwezi ongelea
 
Back
Top Bottom