Ukifika mbinguni lo sijui 😂!
Kama wanataka wenyewe waachieni wanyoshane kidogo...Ukifika mbinguni lo sijui 😂!
Vibaya hivo love. vita sio kitu kizuriKama wanataka wenyewe waachieni wanyoshane kidogo...
Kwa hiyo wale makamanda wa Iran walikuwa wanawake na wengine watoto pia? Asante Kwa kutusanuaNetanyahu ni shoga na bwabwa tu mbele ya wanaume wa kweli, anatumia maguvu mengi kuua wanawake na watoto lakini in a battlefield IDF (ISRAEL DIAPER FORCE) wakikutana na wanaume wa shoka wanachakazwa vibaya mno, ndio maana mwaka wa pili huu kashindwa kuokoa mateka wake kutoka Gaza ambalo ni eneo dogo tu la kilomita za mraba lililozungushiwa fensi pande zote
Mkubali mkatae Israel AMEFELI.Yaani hajafanikiwa Kwa mateso yale ya waparestina unabeza kukaa meza moja? Daa jamani??? Hivi unaona watoto wanavyoteseka halafu eti halafu unabeza kukaa meza moja! Acha wakae,
Hivi wale wazee wa nuclear unajua waliuliwa vipi kwa pamoja! Israel kitu kingine kabisa!
Balozi wa zamani wa Iran anasema Tehran inachunguza iwapo Azerbaijan ilitoa msaada kwa Israel wakati wa vita vya siku 12.
Alionya kwamba ikiwa uhusika huo utathibitishwa, Iran italazimika kujibu kwa uzito kwa Baku.
View: https://x.com/currentreport1/status/1940227174025634091?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanajitafutia balaa, Egypt yuko full mkoko, unadhani ataruhusu hilo!?⚡️After Iran, Israel should attack Egypt!
Recently, Egypt has taken bold stance against Israel. It's time to change our relation w/ Cairo! Egyptians were Never friends of Israel & they supported Iran during the 12 day war!
— Zvi Yehezkeli on i24news
Wamisri hawakuwahi kuwa marafiki wa Israel, Nchi yeyote ambayo itapigana vita na Israel yeye yupo upande wake, Misri kaishajua Israel dhaifu, wakiweka vifaru milima ya Golan Israel inafutika.Wanajitafutia balaa, Egypt yuko full mkoko, unadhani ataruhusu hilo!?
Kwani ni kweli Egypt alimsaidia Iran?
Basi hapo sawa,basi ndio maana kuna kufyatuliana sana risasi mipakani na Israel mara kwa mara.Wamisri hawakuwahi kuwa marafiki wa Israel, Nchi yeyote ambayo itapigana vita na Israel yeye yupo upande wake, Misri kaishajua Israel dhaifu, wakiweka vifaru milima ya Golan Israel inafutika.
Basi hapo sawa,basi ndio maana kuna kufyatuliana sana risasi mipakani na Israel mara kwa mara.
BREAKING 🇨🇳🇮🇷🔥 #Iran imepokea Ndege yake ya kwanza ya Kichina ya J-10c Fighter iliyo na rada ya AESA na Makombora ya PL-15, na kuwa ndoto mbaya kwa Israel F-35.
View: https://x.com/rkmtimes/status/1940602265666224139?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Itakuwa ivi upande wenuKwahiyo ikipokea?
Kwahiyo ikipokea mkuu?