Nimeipenda hio. Muislam hapotezi ktk vita vya JihadWanaukumbi.
⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia, Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi wanasema wamewamaliza Hamas hamna tena Hamas Gaza.
Ni kazi bora ya kihistoria
View: https://x.com/me_observer_/status/1777746046887547359?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Weka basi hiyo video ya Netanyahu akisema Hamas hawapo tena Gaza.. au ndio Taqiyya mafunzo ya AllahWanaukumbi.
⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia, Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi wanasema wamewamaliza Hamas hamna tena Hamas Gaza.
Ni kazi bora ya kihistoria
View: https://x.com/me_observer_/status/1777746046887547359?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
"Ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa" ni kama zile nyimbo za kwenye Santuri za zamani Netanyahu amalize kazi.Tatizo nao kichapo kikizidi wanalia lia kwa kupitia Al-Jazeera ili Dunia iwaonee huruma
Kumbe wanaweza kupambana waendelee kupambana
Wanavua jezi,Acha Israel awachanganye Raia na hamas aue wote tu,hakuna namna sasa"Ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa" ni kama zile nyimbo za kwenye Santuri za zamani Netanyahu amalize kazi.
Israel apige wote tu kama wamevua magwanda, Hakuna namna sasaHamas kumbe ndio raia.. wamevua magwanda sasa why wanalia raia wao wanauliwa ?
Hao hawajali Raia, Hamas wako Kidini zaidi na wanalipwa na Iran Qatar na Islamic Brotherhood ndio maana jana waliiba chakula cha msaada wa Raia na kukipeleka kwenye mahandaki kwenda kulisha wanamgambo wao.Wanavua jezi,Acha Israel awachanganye Raia na hamas aue wote tu,hakuna namna sasa
Pigana na Hamas unapigana na watoto wa na wagonjwa unaita kichapo angalia hiyo video baada ya kipigo wameondoa majeshi wamebakia kurusha mabomu hovyo.Tatizo nao kichapo kikizidi wanalia lia kwa kupitia Al-Jazeera ili Dunia iwaonee huruma
Kumbe wanaweza kupambana waendelee kupambana
God Bless IsraelWanaukumbi.
⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia, Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi wanasema wamewamaliza Hamas hamna tena Hamas Gaza.
Ni kazi bora ya kihistoria
View: https://x.com/me_observer_/status/1777746046887547359?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge.Maiti za watoto na wanawake zaidi ya 25,000 ni Hamas hao waalivua magwanda.
Akili za sisimizi.
Hao hawajali Raia, Hamas wako Kidini zaidi na wanalipwa na Iran Qatar na Islamic Brotherhood ndio maana jana waliiba chakula cha msaada wa Raia na kukipeleka kwenye mahandaki kwenda kulisha wanamgambo waoWanavua jezi,Acha Israel awachanganye Raia na hamas aue wote tu,hakuna namna sasa
Kuna la kujifunza mijitu mieusi wapalestina wanapambania nchi yao na kutokubali japo hawana siraha ni nchi gani ya Africa watuwake wangekuwa tayari hivi kwa kizazi hichi??? Pamoja na wazungu kutuona sisi nyani lakini mapenzi ya mijitu mieusi kwa mzungu hayana kikomo..ukiondoa South Africa wanaojitambua."Ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa" ni kama zile nyimbo za kwenye Santuri za zamani Netanyahu amalize kazi.
Watu wanapambania nchi yao Muisrael mweusi kutoka Ushirombo anasema wapo kidini daah.Hao hawajali Raia, Hamas wako Kidini zaidi na wanalipwa na Iran Qatar na Islamic Brotherhood ndio maana jana waliiba chakula cha msaada wa Raia na kukipeleka kwenye mahandaki kwenda kulisha wanamgambo wao
Wao lengo lao ni kuukomboa Msikiti wa Al Qudus.
Hamas hawa hapa wamevua magwanda.Hamas kumbe ndio raia.. wamevua magwanda sasa why wanalia raia wao wanauliwa ?
Israel kila siku wanakamata Magaidi wa Hamas ambao wanavua magandwa kama huyu.Hamas kumbe ndio raia.. wamevua magwanda sasa why wanalia raia wao wanauliwa ?