Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas haw hapa wamevua magwanda.Hamas kumbe ndio raia.. wamevua magwanda sasa why wanalia raia wao wanauliwa ?
Tatizo nao kichapo kikizidi wanalia lia kwa kupitia Al-Jazeera ili Dunia iwaonee huruma
Kumbe wanaweza kupambana waendelee kupambana
Watu wanapambania nchi yao Muisrael mweusi kutoka Ushirombo anasema wapo kidini daah.
View: https://x.com/drhossamsamy65/status/1777731497665200433?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Watu wanapambania nchi yao Muisrael mweusi kutoka Ushirombo anasema wapo kidini daah.
View: https://x.com/drhossamsamy65/status/1777731497665200433?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Asa kwa akili zako unasema Israel inawaonea wakat mnavimbaa huku mmevua magwanda mmesubr jamaa wakiwa wanaondoa vikos ndio mnavizia alaf mnapost et onaa sisi tumewauwa IDF kwa nn msijiweke waz all the time kupigana nao yanin mjifiche na kuaacha Raia wanapay price mindset ya mwarabu IQ ndogo sana naona izo akili zenu hadi kwenye michezo inferiority thinkingMaiti za watoto na wanawake zaidi ya 25,000 ni Hamas hao waalivua magwanda.
Akili za sisimizi.
Hivi kwa nini Wausrael weusi wengi mapunguani? Kama huyu hao watoto na wanawake wanaoliwa no Hamas wanavua magwanda? Wewe kweli punguani yaani unawapangia Hamas jinsi ya kupigana.S
Asa kwa akili zako unasema Israel inawaonea wakat mnavimbaa huku mmevua magwanda mmesubr jamaa wakiwa wanaondoa vikos ndio mnavizia alaf mnapost et onaa sisi tumewauwa IDF kwa nn msijiweke waz all the time kupigana nao yanin mjifiche na kuaacha Raia wanapay price mindset ya mwarabu IQ ndogo sana naona izo akili zenu hadi kwenye michezo inferiority thinking
Msikilize bwana yako huyu anakuambia wanatafuta watoto wa kuuwa Gaza wewe punguani unasema Hamas wanavua magwanda.S
Asa kwa akili zako unasema Israel inawaonea wakat mnavimbaa huku mmevua magwanda mmesubr jamaa wakiwa wanaondoa vikos ndio mnavizia alaf mnapost et onaa sisi tumewauwa IDF kwa nn msijiweke waz all the time kupigana nao yanin mjifiche na kuaacha Raia wanapay price mindset ya mwarabu IQ ndogo sana naona izo akili zenu hadi kwenye michezo inferiority thinking
Wapigwe hakuna namnaTatizo nyinyi mkizidiwa kwenye uwanja wa vita hasira zenu mnaenda kushambulia hospital sehemu ambayo hakuna wapiganaji wa hamas mnaua wanawake na watoto wakati hamas mnajua mahandaki yao yalipo hila mnaogopa kuingia.
Wanaukumbi.
⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia, Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi wanasema wamewamaliza Hamas hamna tena Hamas Gaza.
Ni kazi bora ya kihistoria
View: https://x.com/me_observer_/status/1777746046887547359?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Aiseee! asante mkuu maana nimejaribu kurejesha kumbukumbu kwamba waliwahi kusema hivyo, lakini hakuna. Mbaya zaidi mleta maneno hayo ni mtu mkongwe na angefaa kuwa kielelezo cha habari sahihi.Weka basi hiyo video ya Netanyahu akisema Hamas hawapo tena Gaza.. au ndio Taqiyya mafunzo ya Allah
Aiseee! asante mkuu maana nimejaribu kurejesha kumbukumbu kwamba waliwahi kusema hivyo, lakini hakuna. Mbaya zaidi mleta maneno hayo ni mtu mkongwe na angefaa kuwa kielelezo cha habari sahihi.