Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi waliwambia Israel kuwa Hamna tena Hamas Gaza angalia Video Hamas wanachofanya

Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi waliwambia Israel kuwa Hamna tena Hamas Gaza angalia Video Hamas wanachofanya

Nakumbuka kabla Israel haijaanza kiwapiga HAMAS walisema hawatarajii vita hii kuisha mapema bali vita itaendelea hadi HAMAS wote watakapoisha kwenye uso wa Dunia. Kwahiyo, vita hivi baaaaaaado sana kwa IDF.
Upo nyuma ya habari wewe.

🇮🇱Israeli Defense Minister:

"Hamas is no longer a military organization in Gaza as a result of our intensive operations"

This is how the defeat in Gaza is now justified, which Netanyahu himself admitted a few days ago that if Israel withdraws, it loses the war.
 
Yaani hawa jamaa wanatumia akili zao to the maximum. Ni kama umefumaniwa, ile akili unayochakata pale ni kubwa sana na inaweza kukuokoa kwenye hilo janga.
Ndicho kinachoendelea Gaza
 
Upo nyuma ya habari wewe.

🇮🇱Israeli Defense Minister:

"Hamas is no longer a military organization in Gaza as a result of our intensive operations"

This is how the defeat in Gaza is now justified, which Netanyahu himself admitted a few days ago that if Israel withdraws, it loses the war.
Nakumbuka wakati Israel inaanza operation dhidi ya Gaza na HAMAS walisema watatoa kipigo ambacho hata Biblia haijawahi kuandika. Kwamba kipigo hicho kitasimuliwa kizazi na kizazi. Kwa maelezo hayo, unafikiri Israel wameishamaliza operation yao?
 
Back
Top Bottom