Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaukumbi.
All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole.
The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian hostages released in even worse conditions are now saying the Israeli captives were starved.
=============
Watekwa wote watatu wa Israeli walikufa njaa kwa sababu ya Israeli. Israel inadhibiti mipaka na misaada inayoingia. Ni Israel iliyoweka njaa kwenye Gaza kwa ujumla.
Jambo la kushangaza ni kwamba Waisraeli wale wale waliodai kuwa hakuna njaa huko Gaza na kupuuza mateso ya mateka wa Kipalestina walioachiliwa katika hali mbaya zaidi sasa wanasema mateka wa Israel walikufa njaa.
View: https://x.com/suppressednws/status/1888185669610070502?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wamerudisha ardhi yao baada ya hii vita?Swali la kitoto unaniuliza ndiyo maana nimekuuliza una umri gani vita vya Gaza huwenda umeanza kuvijua kuptia JF, Palestina toka mwaka 1947 wanapambana na Israel baada ya kuchukuliwa ardhi yao wewe unakuja na habari za kitoto za Oct 7 nakushari huu uzi mzito kwako kuwa msomaji tu.
Mateka anashakuru Hamas kwa ukarimu wao wewe punguani kutoka Makate unakuja na porojo toka jana nilikuwambia Waisrael hawatishwi wala hawaogopi kufa toka mwaka 1947 wanauliwa wanaishi gereza la wazi.wanachoongea, mbona hamas wenyewe wana vitambi na makalio yamevimba, ila hao mateka wapo hivyo? tunajua hao waliwekwa kwenye handaki, ila wale wanawake kwa mujibu wa dini ya kiislam walipelekwa kwenye nyumba za matajiri wa kipalestina maeneo mbalimbali ambako walikuwa wanalishwa na kuishi vizuri. hu mchezo ukiisha, wataongea kila kitu namna walivyokuwa wanaishi huko.
Wamerudisha ardhi yao baada ya hii vita?
Una umri gani?
Mateka anashakuru Hamas kwa ukarimu wao wewe punguani kutoka Makate unakuja na porojo toka jana nilikuwambia Waisrael hawatishwi wala hawaogopi kufa toka mwaka 1947 wanauliwa wanaishi gereza la wazi.
View: https://x.com/suppressednws/status/1888178654749839546?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwa mambo yanavyoendelea ceaze fire inaisha muda si mrefu na kichapo kinaanza upya