Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza utumbo unategemea niniJibu swali uliloulizwa acha kuhamisha magoli
Shida Wajuba wa Hamas wapo fiti awaogopi kufa ni makomando wa Kweli awaitaji pesa ili Wapigane!!! Sasa upande w pili Israel inategemea mamluki na Pesa kupigana!!! Ni Wazi IDF ikitaka kuendelea Vita!Kwa mambo yanavyoendelea ceaze fire inaisha muda si mrefu na kichapo kinaanza upya
Tumefikia marengo tumeuwa Hamas zaidi ya 10.000. ‘Netanyahu.
View: https://x.com/ramaa4399/status/1888157850360267142?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Siyo mbali na kufahamu kwamba mateka wa Israel 3 wanabadilishwa na wapalestina 150. Tambua Hilo.Shida Wajuba wa Hamas wapo fiti awaogopi kufa ni makomando wa Kweli awaitaji pesa ili Wapigane!!! Sasa upande w pili Israel inategemea mamluki na Pesa kupigana!!! Ni Wazi IDF ikitaka kuendelea Vita!
Makomando w Hamas Watavamia Upya Israel na kuwabeba waisrael Wakutosha ili Wawe kinga apo GAZA HAMAS ishajua IDF weupe Sana ikitokea Ambush Waogo Sana.!!! Kwaiyo mm pia ninamtizamo kama Wako Uwenda Vita ikalipuka tena lkn Waisrael Watakwama Upya!!
Kwa sasa mtu mashuhuri duniani ni Trump peke yake,wengine hao ni vikalagosi wa dunia.Una umri gani?
Tovuti za mitandao ya kijamii na watu mashuhuri nchini Marekani na ulimwenguni kote ni wabunifu katika kumdhihaki na kumdhihaki mjinga wa Marekani...
Trump amekuwa kicheko cha dunia na kuifanya Marekani kuwa nchi isiyo na hadhi wala thamani
Sasa kwaakili yako umeelewaje apo!!! Ulitaka Hamas iwakamate waisrael 10000+ Hamas imeshika waisrael Wachache lkn ndio ivo lengo ni lile lile kuwatoa mateka wapalestina kutoka kwenye mateso uko IsraelSiyo mbali na kufahamu kwamba mateka wa Israel 3 wanabadilishwa na wapalestina 150. Tambua Hilo.
Hahaha... Thamani ya muisraeli 1 ni wapalestina 50. Kama sivyo waarabu wangekuwa na uwezo wa kuteka wayahudi wengi kama wayahudi walivyoteka waarabu wengi. Punguza jazba ....Sasa kwaakili yako umeelewaje apo!!! Ulitaka Hamas iwakamate waisrael 10000+ Hamas imeshika waisrael Wachache lkn ndio ivo lengo ni lile lile kuwatoa mateka wapalestina kutoka kwenye mateso uko Israel
Israel ilikamata mateka adi watoto ikawafungia uko Israel muisrael awezi kuwa na akili kama zako au za uyo mchungaji wako aliekubebesha ujinga kichwani na kuuleta apa JF.!!
kuwa muisrael anasamani kuliko mpalestine !!!!! badala akwambie Ukweli kuwa ni lazima muisrael 1 kwa wapalestina 50 Sababu Israel inashikilia Mateka wengi wa kipalestina ilowakamata mitaani!!
Ndio mana Israel imekubali 1 kwa 50 walitaka 1 kwa 1 1 kwa 3 kama pale mwanzo Hamas walikataa vile wanajua wapalestina wangapi wapo uko Israel kama mateka au wafungwa!!!!
Israel ilionywa kuwa kutaka m'badilishane m1 kwa m1 kutapelekea Makomando wa Hamas kuwateka Waisrael wengi siku sijazo!! kitu ambacho sio lengo la HAMAS lengo la HAMAS kuteka kama watu 300 au 200 wawatumie kukomboa Wapalestina elfu 10000+
pengine wewe mtoto kuna mwanajesh wa Israel 25 June 2006 anaitwa Gilad Shalit alikamatwa na Hamas Gilad Shalit akiwa na cheo cha kati alishikiliwa kwa miaka 5 Adi kwa 2011 mwisho Netanyahu uyu uyu akakubali kuwaachia Wapalestina 1,027 akiwemo mwamba YAHYA SINWAR.
Mke wa Gilad Shalit na famiria yake kila siku walikuwa wanalia kwenye Office za PM uko Israel,, Hamas ilitaka tu Kuwakomboa wapalestina ambao waisrael waliwateka akiwemo YAHYA SINWAR Israel iligoma mwisho ikakubali,
mwambie mchungaji wako nini 1 kwa 150 kuna 1 kwa 1,027 !!!! tatizo Waisrael wanawakamata Wapalestina pasi na kosa lolote chuki zao vitisho ili wapalestina waondoke ktk Ardhi iyo!!! Ndio HAMAS nao wanawashika Waisrael Wachache wanajua uko Israel family yake itaenda mbio kusumbua Utawala wa Israel!!!! Kama mlivoona Wakiandamana adi nyumbani kwa NETANYAHU,,
Hivi malengo ya Israel kukimaliza kabisa kikundi cha Hamas yametimia?Hivi malengo ya Hamas baada ya Lile tukio la utekaji na mauaji ya raia 1200 wa Israel yametimia ?