Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

Hakuna chochote kizuri kuhusu nyie

Nyie ni utapeli mkuu uliowahi tokea duaniani tangu nyoka alivyomdanganya eva
 
wanachoongea, mbona hamas wenyewe wana vitambi na makalio yamevimba, ila hao mateka wapo hivyo? tunajua hao waliwekwa kwenye handaki, ila wale wanawake kwa mujibu wa dini ya kiislam walipelekwa kwenye nyumba za matajiri wa kipalestina maeneo mbalimbali ambako walikuwa wanalishwa na kuishi vizuri. hu mchezo ukiisha, wataongea kila kitu namna walivyokuwa wanaishi huko.
 
Wamerudisha ardhi yao baada ya hii vita?
 
Mtu anavamia nyumba yako anafanya uharibifu, unaamua kujihami kwa kulipiza kisasi, badae anaanza kulaumu kwamba wewe huna utu kwasababu umeamua kulipiza kisasi. Hii akili au matope, unakuwaje mbabe halafu lialia
 
Mateka anashakuru Hamas kwa ukarimu wao wewe punguani kutoka Makate unakuja na porojo toka jana nilikuwambia Waisrael hawatishwi wala hawaogopi kufa toka mwaka 1947 wanauliwa wanaishi gereza la wazi.

View: https://x.com/suppressednws/status/1888178654749839546?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
yap, anashukuru under gun point. utasema ameongea kwa akili yake hapo? au akili ya woga. pia, twende mbele turudi nyuma, hamas mmepata kichapo kikubwa sana safari hii, na nadhani mngejua yangekuwa haya, wala msingeanzisha ule ugomvi. siku nyingine mjitafakari kwanza kabla ya kuanzisha ugomvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…