Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #101
Yahudi jeusi la Ngudu linatoa tamko 😅Mkuu unazunguka sana. Nadhani jawabu ni rahisi tu, kwamba malengo ni kukomboa ardhi yao. Na malengo yao hayakutimia. Kwamba hakuna hata kipande kidogo cha ardhi kilichorudishwa. Zaidi sana Palestina wamepata hasara kubwa ya watu kama 46,000 na mji wa Gaza kuharibiwa huku yahudi akipoteza watu kama 1300. Labda wajipange upya.