Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari alishajitokeza hadharani na kusema wazi Hamas kwa Wapalestina ni itikadi! Hivyo huwezi kuiua hiyo itikadi, na kuitoa kirahisi tu katika mioyo ya Wapalestina walio wengi.Ndio na kuuliza kama wamefanikiwa mbona jana Hamas wamewashambulia IDF Rafah border!?
Au hao Hamas wa mchango!?
Kwani wewe matako Huna, au unakalia kibyongo bwege weweπππππππππKinaniuma mimi au wewe !?
Nipo Morogoro sipo Mbagala kalio wewe.
Unaletewa facts unashindwa kujibu!?
Tupe jibu hao Hamas walioua askari kadhaa wa IDF jana Rafah border wametokea wapi kama Israel imefanikiwa ku eliminate Hamas!?
Jibu fact wacha taarab.
Nashangaa watu humu wanaropoka tu kama wamelewa.Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari alishajitokeza hadharani na kusema wazi Hamas kwa Walestina ni itikadi. Hivyo huwezi kuiua na kuitoa kirahisi tu katika mioyo ya Wapalestina walio wengi.
Kwa hiyo Mayahudi watafute tu njia mbadala ya kuumaliza huo mgogoro wao na Wapalestina. Mimsingi matumizi ya nguvu, mauaji, mateso, manyanyaso, nk. Kwa Wapalestina hayawezi kuumaliza huo mgogoro.
Hivyo hao wanajeshi watauwawa mmoja mmoja mpaka wataondoka wenyewe kwenye hilo eneo la Gaza.
ππππππIwe nautolea Mazimbu au Mafisa ila huo ndio ukweli na kama kukuchoma ikuchome,Israel haina uwezo wa kupigana FULL SCALE WAR na Hizbollah kwa sasa.Kwani wewe matako Huna, au unakalia kibyongo bwege wewe
Nimeshakwambia ,Israel inahitaji vita kamili nahao wahuni wanafadhiri ujinga ,acha Israel iishi
Uchambuz wako ,unautoa kutokea kihonda kwa chambo hapo au sangasanga
Ukiona unaiamini US kwenye propaganda ni tatizoππππππIwe nautolea Mazimbu au Mafisa ila huo ndio ukweli na kama kukuchoma ikuchome,Israel haina uwezo wa kupigana FULL SCALE WAR na Hizbollah kwa sasa.
Ina ukata wa askari na vifaa vya kijeshi pia.
Tazama habari uache ushabiki maandazi,viongozi wa USA wanatoa wito kila siku wakiishi Israel isiingie vita kamili na Hizbollah madhara yatakuwa makubwa,kwanini hawakuizuia ilipoanzisha vita na Gaza!?
Magaidi ni raia au vyuma , wao wamekubali kuwa ngao ,wapigweNashangaa watu humu wanaropoka tu kama wamelewa.
Hapo Gaza alichofanikiwa Israel ni kuua raia hovyo na kuharibu miji.
Ila mipango ya kurudisha mateka na kutokomeza Hamas imefeli.
Majuzi kaanza kulazimisha raia kuingia jeshini wakapambane vita.
Huyo ndio anataka akapambane na Hizbollah yenye askari zaidi ya laki moja na yenye missile power ya kurusha makombora elfu thelathini kwa siku,drone,mizinga,vifaru na mabomu!?
Ilhali kashindwa kutokomeza kundi la Hamas lenye wapiganaji elfu ishirini na nane!?
Tupo hapa tunakaa na kusubiri.
Mkuu nimewambia kama inavyo sema habari huyu mwanamke wa Israel huko UN alikuwa akilalamika namna Hezbullah anavyo wakimbiza mchakamchaka huko North, analia wameuliwa 150 na 15,000 wamejehuriwa na nyumba 930 zimebomolewa na 100,000 wamekimbia sababu ya Hezbullah πMkuu watakwambia chanzo cha taarifa kutoka masjid ubwabwa watafsirie kabisaπππ
Unaanza kuropoka kama huna akili nzuri huku unachanganya mada.Ukiona unaiamini US kwenye propaganda ni tatizo
Ndo mana ,mlikubali chambo awe diwani wenu ,kibwege na msukuma wa kahama hivyo ,mnaamini kila kitu bila kufikiria, toka lini mlugulugu aitwe chambo hua nakunywa maji hapo nikitoka zangu kanda yakati , nahujaza mafuta sheli hapo na mtapata ukimwi mpaka mkome ,kituo cha tren ya magufuli (mwendokasi
Ugaidi ni wale wauwaji watoto, wanawake na vizee.Israel anaenda kumaliza ugaidi middle east
Hakuna tusi jipya kaka we tukana tu bro.Tuheshimiane ustadhi ,mimi naloga hata kwajina bandia ,kuwa na hekima basi ,kumamayo mshenzi mkubwa wewe
Acha ushenzi ,swala la kalio mwite mkeo ,na mahawala zako , unaweza mwambia baba ako kalio lako kubwa hilo suruali haikutoshi ? Dogo jiheshimuHakuna tusi jipya kaka we tukana tu bro.
Mie wala hainiumiππππππππππ.
Hyper maana yake sawa na jazba,je hilo ni tusi mkuu!?
Kalio ni neno la kawaida mkuu,wapi nimekutukana!?
Punguza hasira sio nzuri kwa afya.
Punguza hyper haikusaidii kitu.Acha ushenzi ,swala la kalio mwite mkeo ,na mahawala zako , unaweza mwambia baba ako kalio lako kubwa hilo suruali haikutoshi ? Dogo jiheshimu
Mkuu sidhani kama wanaruhisiwa kuwa na jeshi. Unadhani nani atawapa hizo silaha ie vifaru na ndege za kivita?Kuwa serious kidogo, Hamas unajua ni kama kuku wa kienyeji hawatulii sehemu moja, waambie wapigane kama jeshi kamili waende frontline dhidi ya Israel uone kama watabaki hata mmoja..
Usisahau kumuita na huyo Yahaya wako!.
Sana tena sana eti wamemtoa Hezbullah kwenye group la ma gaidi, yote wanaogopa Israel akisha safishwa wasirudiwe wao πViongozi wa kiarabu ni wanafiki bhana asikuambie mtu.
Hamas walipovurumishwa Gaza walikimbilia Lebanon ndiko wanakoendeleza mashambulizi dhidi ya IsraelIna maana kashindwa kuwamaliza hamas au? Na mateka ndio imeshindikana kuwaokoa?
Yani wewe ndio hujui kitu hamasa hadi leo wapo zao gaza wanaendelea kupambana na idf , ndio maana hallevi msemaji wa jeahi la israel alitoka hadharani kwenye vyombo vya habari na kuwaambia wananchi hamas tumepigana nao inaenda miezi tisa sasa na hawataweza kuisha , ingawa kauli hii netanyahu alitoka na kuipinga maana ndio anachowadanganya wananchi ili aendelee kukwepa uchaguzi ambao hadi sasa wananchi hawamtaki amefeli kuwamaliza hamas na kafeli kuokoa mateka pamoja na kupewa kila aina ya msaada na marekaniHamas walipovurumishwa Gaza walikimbilia Lebanon ndiko wanakoendeleza mashambulizi dhidi ya Israel
Israel Sasa inawafuata huko huko Lebanon waliko
Usrahell kama kashindwa kutoboa kwa hamas hana sehemu atakayotoboaMkuu tuongee uhalisia TUWEKE USHABIKI PEMBENI,Israel imeishiwa rasilimali watu wa jeshi kaka,vuta picha mpaka imelazimisha wasomea dini wa Orthodox Jews kuingia jeshini tena kilazima ilhali sheria inatambua Israel kuwa Orthodox Jews ni wasomea dini hawatakiwi kujihusisha na migogoro!?
Je kwa Hizbollah ambao wanakadiriwa kuwa na wapiganaji laki moja,na hiyo ni idadi ya makadirio sio namba kamili,usikute Hizbollah wanafika hadi laki tatu.
Wana silaha za kisasa ambazo za kushindana na jeshi kamili la nchi ndugu unatoboa kweli!?
Aya ngojea tuone.
Aione T14 Armata hii komentKwahiyo huko Gaza keshamaliza anaowaita magaidi wote na amejiridhisha kilichotokea October 7 hakitojirudia tena? Maana ndivyo alivyodai wakati anavamia Gaza!
ππππAione T14 Armata hii koment