Netanyau asema shambulizi la Israel dhidi ya Iran lilisambaratisha viwanda vya kutengeneza kifo! Iran kamwe haitomiliki silaha za nyuklia

Kwahiyo Al Qaeda, Al shabaab, isis ndio islamic republics?

Mbona islamic republic of Pakistan ni Nuclear power na hakuna waliyewahi kumlipua?

Dunia irngekuwa sehemu salama kama hakuna nchi yeyote ingeruhusiwa kumiliki silaha za kinyuklia
Alqaeda, alshabaab, Isis, Hezbollah, Hamas, Houth ni makundi ya magaidi yanayopigania dini ya allah..

Sasa imagine mfadhili wao Iran akipata bomu la nuclear then akawapa wapigane jihad dunia itakalika kweli??
 
Vyovyote iwevyo, kilichonifurahisha mie katika vurugu zao hizo, ni kitendo cha Israeli kutuma marubani kina mama kwenda kumdhalilisha Ayatolah!

Kwa nchi zote zenye mrengo wa 'mfumo dume', kisa hiki cha wanawake kwenda kupiga na kuwainamisha wanaume wazima wa wairan vichwa chini ni kikubwa sana na kina hadhi ya kipekee, atake au asitake.

Kimemvua nguo na kumwacha uchi Khamenei the supprime leader!
 
Yeye nani azuie Iran kua na nyuklia? Washachelewa
Netanyahu alisema na kuapa ataizuia Iran kumilik sila nuclear lakin nachoona .jamaa wanaharakisha zaidi irani imalizie urutubishaji ..Netanyahu lazima atajinyonga
 

Tatizo tulio huku nanjilinji tunaona hizi vita kama vile ni movie za holywood.. hawajui vita ni gharama kubwa..

hapo watu wanabeza kuwa madhara ya mashambulizi ya Israel ni madogo.. sababu wao walitaka kusikia maghorofa yamelipuliwa watu 100 wamekufa..

Fikiria technologia iliyowekezwa kwa 20 na iran kwenye Jeshi lake, nguvu na pesa aliotumia kwenye proxy zake.. kisha over a night yameharibiwa huku hizbola nao they are almost toothless

Ameplan kwa miaka mingi Amejaribu kumtingisha Israel na akapata matokeo kidg kwa mda Mfupi kisha mambo yameanza kwenda kombo sio mbaya akirudi kwenye drawing board, sasa hivi iran is weighing her options..

kwa dunia hii ya nipe nikupe au kama huna cha kunipa uwe puppet wangu Iran anaona she stands to lose a lot compared to what she will gain. Na hasa ukichukulia vita yenyewe ni kutaka kuwa dominant Middle east sio kwamba. Inahatarisha amani ya Iran

Iran wameona Hata hao kina the so called washirika mfano Urusi, China and the alike.. it just bussiness as usual.. so wanaona bora wapunguze mihemuko

Sasa hivi israel wakipigana na iran haijalish hasara kiasi gan kila mmoja atapata kiuchumi ila israel itamchukua miaka michache kurudi alipo kuliko iran.. maana israel atapata misaada almost for free kutoka kila kona ya Europe sababu ana laverage..

kwa iran hatakuwa na laverage so aidha akubali afe na tai shingon maana yake ajifungie waishi kwa shida had wasimame kitu ambacho kwa kizaz cha saaa cha dotcom atajikuta analeta unrest ndan kwake.

option ya pili akunje mkia akubali kuwa mnafiki aruhusu western waingine kumtawala kimamboleo. Maana yake apewe chance ya kufanya biashara na kupokea misaada kwa terms za Western. Anaona Urusi ambapo anatumia nguvu nyingi just to make sure they stay afloat. mpaka kuja na Brics na mengineyo. Je yeye ataweza kufanya kama alivyofanya Urusi ikitokea kawa blacklisted.

Iran anajua kuwa ukaribu wake na Urusi ni swala la Abdala kumuita Abdul.. maana Urusi hatatoa msaada bure ataweka terms zake na pia bado mrusi ataendelea kuwa mshirika wa Israel.. na hata nchi Ingine za ulaya atapiga nao biashara so.. hakuna uhusiano wowote wa iran na china, india au ulaya.. ambao iran atafaidika zaid kuliko wenzie.. they will always dictate what is best for her

So tuachane ushabiki maandaz vita bora hizo vurugu zipate suluhu mezan tu
 
Hao nchi za EU wako hoi kwa sasa ujerumani anafunga viwanda Vya Vya kimkakati nadhani itakuwa ni kwa Sababu ya vita ya ukrain .Vita ya Israeli na iran ikipigwa kila mtu atapamana na hali yake maana straight of harmuz hautakuwa unapitisha Ges wala mafuta EU countries zitakuwa hoi zaidi kupambana na uchumi zao hazitaweza kutoa hata sh moja kupeleka Israeli .itakuwa ni survival for the fittest . Ges na mafuta ya urus ambayo yanavikwazo eu wataanza kumpigia magoti urusi maana haitakuwa demand tena Bali ni superdemand gulf state Ambazo zitakuwa sole mtegemezi wa mafuta na Ges staanza ku scrambel. Kwa hiyo usifikiri iran Hana Cha ku offer hapo fikiria tena Masada anaopewa ni kwa kuwa chumi zao zina ridhisha hebu fikiria usa maduta yafike hata dolla 11 kwa gallon Nani ataendesha gari ulaya na usa
 
Iran kapitia worse situation kuliko hii miaka ya 70 huko. Unachokitaka wewe ndio Iran anachokipinga alishaona madhara ya kumkumbatia west kama nchi nyingine zilivyo sambaratika kwa kumbatia west wanatafuna mafuta yako na wewe kubaki na njaa na uchawa tu Iran wana akili sio waarabu wale.

Kama wameweza kufika hapa walipo katika kipindi chote cha vikwazo wanaweza kutoka na kusogea zaidi uzuri ni wavumilivu na intelligents
 
Alichokisema PM Nitanyahu, ni sahihi kabisa. Kwa Mashariki ya kati, israel ndiye mlinzi wa mataifa ylte. Bila Israel, iran ingekuwa imeyadhibiti mataifa yote ya Mashariki ya kati.

NiIsrael pekee ndiyo ina uwezo wa kuitiisha adabu Iran, nayo ikaufyata.
 
Watu hiwa mnaongea vitu ambavyo hata hamna uelewa navyo.



Russia ndiyo nchi yenye reserve kubwa ya natural gas Duniani, lakini nchi muuzaji mkubwa wa gas Duniani ni Marekani.

Marekani ina gas, ina mafuta na ina madini mengi ya aina mbalimbali. US wala Ulaya hawawezi wakapata shida ya mafuta au
gas, eti kwa nsababu ya kukosa gas au mafuta toka Iran.
 
Naona naona umekurupuka na Inaonyesha kichwani mweupe kabisa umilki wa mafuta dunia ni kupitia kampuni binafsi zinazochimba mafuta mfano hats saudia makampuni mengi ni ya usa na anazalisha na kitumia sana hata zaidi ya anachozalish ndo maana anatafuta kila mahali palipo na mafuta . Pili nimesema pakitokea vita ule mfreji lazima utafikgwa tu na unachangia zaidi ya 30% ya mafuta ya dunia hata mafuta yetu yanapita pale vita kamili lazima watu watatbea peku maana amna atakayeweza kulipa nauli. Pale baab almandab wahudthi wamefunga na uchumia wa egypt umepromka na baadhi ya bandari zimefugwa pale Israel n
 
Netanyahu alisema na kuapa ataizuia Iran kumilik sila nuclear lakin nachoona .jamaa wanaharakisha zaidi irani imalizie urutubishaji ..Netanyahu lazima atajinyonga
Labda Netanyahu wa Shului ya kule Singida.
 
Alee akina jordan na misri wanaohongwa kila mwaka 1.5b ili kulitambua taifa la Israeli na sio iran . Taifa gani mpaka hongo inatolewa ili uweze kulitambua Kama sio taifa la mchongo .
 
Alee akina jordan na misri wanaohongwa kila mwaka 1.5b ili kulitambua taifa la Israeli na sio iran . Taifa gani mpaka hongo inatolewa ili uweze kulitambua Kama sio taifa la mchongo .
Hivi wewe mujeebudeen, mbona hata nchi yako inalitambua taifa la Israel au hujui hilo.
 
Duuu we ulipoenda kura makande usiende tn yatakuwa yamechacha ayafai kwa afya ya akili!! Embu wajibu waliosoma ujumbe wako kuwa 1) Iran insmiliki kipande chochote cha ardhi ya inchi nyengine tuambie ichi gani ili tukuamini kuwa Iran inataka kujitanua tofaut na propaganda za Israel Iran ndio inayalinda ayo mataifa na kuyapigania kama sasa tunavoona wa Iran wakimwaga Damu zao kwasababu ya Palestine 2] upi ukweli Israel ndio mwenyenia ya kutaka kujitanua kwenye inch za wengine apo alipo anamigogoro na majilani kwa kushikilia vipande vya Ardhi zao mfano Syria analalamika Lebanon ivyoivyo Palestine ndio ivyo ata Jordan kuna mashamba walikodishana lkn sasa Jordan ataki tena kumkodisha na mkataba umeshaisha lkn Israel nikama anayashikilia tu so iyo ni propaganda na Futina za israel ili pamoja na ukweli huu lkn iyonekane ety Iran ndio mwenye uchu wa kuvamia wengine Iran ndio mwiba kwa Israel ktk alakati zake za kujitanua ktk inch za Waarabu, ety yy ndio anaizuiya Iran isijitanue acha kura kande zilizochacha,
 
Made in Iran AD yenye combination na drones muajemi sio mtu mzuri na ile Kama urusi oremshenik tayari anayo aliyoimodify kivyake anasubiri mlete upuuzi wenu

🇮🇷| Unveiling of the 358 Defense System for the First Time in the 19th Great Prophet Exercise of the IRGC

🔸The 358 Defense Ambush System is a combination of air defense and drone technology, which was the first time this technology was used by Iran in the world.

@NEWWORLDORDYR
 
Atie maguu basi aone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…