Na mfadhili wao ni huyo huyoWengine ndio hao wanaochinja Watu Msumbiji walikimbilia huko Matumbi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mfadhili wao ni huyo huyoWengine ndio hao wanaochinja Watu Msumbiji walikimbilia huko Matumbi.
Watu wao wanakufa njaa na Ayatolah hatumi hata Kiroba kimoja cha Mchele, Ayatolah anawatumia Mabomu ili wamalizane.Hivi hawa wavuta bange na mirungi wanapigania dini ya mnyaazi mungu?!😆😆
Alqaeda, alshabaab, Isis, Hezbollah, Hamas, Houth ni makundi ya magaidi yanayopigania dini ya allah..Kwahiyo Al Qaeda, Al shabaab, isis ndio islamic republics?
Mbona islamic republic of Pakistan ni Nuclear power na hakuna waliyewahi kumlipua?
Dunia irngekuwa sehemu salama kama hakuna nchi yeyote ingeruhusiwa kumiliki silaha za kinyuklia
Vyovyote iwevyo, kilichonifurahisha mie katika vurugu zao hizo, ni kitendo cha Israeli kutuma marubani kina mama kwenda kumdhalilisha Ayatolah!Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran destroyed ‘industrial factories of death’
In speech to opening Knesset session, PM pledges to continue making peace with Arab countries; Gallant says Iran attack caused ‘a change in the balance of power’
By Lazar Berman Follow
and Emanuel Fabian Follow
Today, 8:33 pm
Israel hit key Iranian sites hard in its airstrikes on Saturday, Prime Minister Benjamin Netanyahu said during a fiery address on Monday at the opening of the Knesset winter legislative session.
“We severely damaged Iran’s defense systems and its ability to export missiles,” Netanyahu said in a speech to the Knesset plenum. “These were not [basic tools] we were attacking. These are industrial factories of death and we struck them hard.”
Netanyahu obliquely pushed back on reports that the White House had convinced him to scale back the response to Iran’s October 1 ballistic missile attack, emphasizing that “we make decisions ourselves according to our interests and considerations.”
Seemingly responding to recent criticism that the ongoing war lacks clear strategic aims, the prime minister said Israel’s goals against Iran and its proxies are clear: “Our long-term strategy is to dismantle the axis of evil, to cut off its arms in the south and in the north, to exact a heavy price from Iran and its proxies and to prevent Iran from having nuclear weapons.”
The IDF carried out a wave of strikes against targets in Iran early Saturday morning, almost four weeks after the Islamic Republic’s massive ballistic missile barrage on the country. The operation, hitting targets some 1,600 kilometers (1,000 miles) away, was unprecedented in terms of its scale and duration, as well as Israel’s immediate acknowledgment of responsibility.
The strikes came after weeks of Israel being urged to temper its response to the Iranian ballistic missile attack on Israel on October 1, which came days after Israel killed Hassan Nasrallah, the longtime leader of Iran’s Lebanese proxy Hezbollah. Satellite imagery of Iran has shown damage to a number of military sites, though Iranian leaders have sought to downplay the effects.
This satellite photo from Planet Labs PBC shows damaged buildings at Iran’s Parchin military base outside of Tehran, Iran, October 27, 2024. The damaged structures are in the bottom right corner and bottom center of the image. (Planet Labs PBC via AP)
Netanyahu said Monday that Israel is the one obstacle keeping Iran from controlling the Middle East and threatening the rest of the world.
“The fanatical axis of evil led by Iran threatens to destroy our country and trap other countries in its net, and to threaten the West first of all. Iran is working for a stockpile of nuclear bombs and will be able to threaten the entire world whenever it wants,” he said.
According to Iran’s thinking, he argued, “if Israel falls, the entire Middle East will fall into its hands, but we will not fall. We will win and the whole world will be a better place.”
Netanyahu alisema na kuapa ataizuia Iran kumilik sila nuclear lakin nachoona .jamaa wanaharakisha zaidi irani imalizie urutubishaji ..Netanyahu lazima atajinyongaYeye nani azuie Iran kua na nyuklia? Washachelewa
kufanya revenge Kwa Iran kwenda Israel Kwa sasa sio rahisi kama unavyo chukulia , na ndio maana Iran imeona ikimbilie UN kama platform ya kuzungumzia na kutatua migogoro ya kisiasa ya kikanda kuliko matumizi ya nguvu za kijeshi ,kwanini wanaojua vita ya kupigana nyumbani kwako, no matter how strong you are athari zake ni kubwa mno na Iran hata weza kuhimili mikiki mikiki yake sababu uchumi wake upo low sana kumbuka yakwamba S 300 air defence system anapewa na Russia na kufanya interception ya Yale makombora sio child play ni hela tena ndefu .
Hao nchi za EU wako hoi kwa sasa ujerumani anafunga viwanda Vya Vya kimkakati nadhani itakuwa ni kwa Sababu ya vita ya ukrain .Vita ya Israeli na iran ikipigwa kila mtu atapamana na hali yake maana straight of harmuz hautakuwa unapitisha Ges wala mafuta EU countries zitakuwa hoi zaidi kupambana na uchumi zao hazitaweza kutoa hata sh moja kupeleka Israeli .itakuwa ni survival for the fittest . Ges na mafuta ya urus ambayo yanavikwazo eu wataanza kumpigia magoti urusi maana haitakuwa demand tena Bali ni superdemand gulf state Ambazo zitakuwa sole mtegemezi wa mafuta na Ges staanza ku scrambel. Kwa hiyo usifikiri iran Hana Cha ku offer hapo fikiria tena Masada anaopewa ni kwa kuwa chumi zao zina ridhisha hebu fikiria usa maduta yafike hata dolla 11 kwa gallon Nani ataendesha gari ulaya na usaTatizo tulio huku nanjilinji tunaona hizi vita kama vile ni movie za holywood.. hawajui vita ni gharama kubwa..
hapo watu wanabeza kuwa madhara ya mashambulizi ya Israel ni madogo.. sababu wao walitaka kusikia maghorofa yamelipuliwa watu 100 wamekufa..
Fikiria technologia iliyowekezwa kwa 20 na iran kwenye Jeshi lake, nguvu na pesa aliotumia kwenye proxy zake.. kisha over a night yameharibiwa huku hizbola nao they are almost toothless
Ameplan kwa miaka mingi Amejaribu kumtingisha Israel na akapata matokeo kidg kwa mda Mfupi kisha mambo yameanza kwenda kombo sio mbaya akirudi kwenye drawing board, sasa hivi iran is weighing her options..
kwa dunia hii ya nipe nikupe au kama huna cha kunipa uwe puppet wangu Iran anaona she stands to lose a lot compared to what she will gain. Na hasa ukichukulia vita yenyewe ni kutaka kuwa dominant Middle east sio kwamba. Inahatarisha amani ya Iran
Iran wameona Hata hao kina the so called washirika mfano Urusi, China and the alike.. it just bussiness as usual.. so wanaona bora wapunguze mihemuko
Sasa hivi israel wakipigana na iran haijalish hasara kiasi gan kila mmoja atapata kiuchumi ila israel itamchukua miaka michache kurudi alipo kuliko iran.. maana israel atapata misaada almost for free kutoka kila kona ya Europe sababu ana laverage..
kwa iran hatakuwa na laverage so aidha akubali afe na tai shingon maana yake ajifungie waishi kwa shida had wasimame kitu ambacho kwa kizaz cha saaa cha dotcom atajikuta analeta unrest ndan kwake.
option ya pili akunje mkia akubali kuwa mnafiki aruhusu western waingine kumtawala kimamboleo. Maana yake apewe chance ya kufanya biashara na kupokea misaada kwa terms za Western. Anaona Urusi ambapo anatumia nguvu nyingi just to make sure they stay afloat. mpaka kuja na Brics na mengineyo. Je yeye ataweza kufanya kama alivyofanya Urusi ikitokea kawa blacklisted.
Iran anajua kuwa ukaribu wake na Urusi ni swala la Abdala kumuita Abdul.. maana Urusi hatatoa msaada bure ataweka terms zake na pia bado mrusi ataendelea kuwa mshirika wa Israel.. na hata nchi Ingine za ulaya atapiga nao biashara so.. hakuna uhusiano wowote wa iran na china, india au ulaya.. ambao iran atafaidika zaid kuliko wenzie.. they will always dictate what is best for her
So tuachane ushabiki maandaz vita bora hizo vurugu zipate suluhu mezan tu
Iran kapitia worse situation kuliko hii miaka ya 70 huko. Unachokitaka wewe ndio Iran anachokipinga alishaona madhara ya kumkumbatia west kama nchi nyingine zilivyo sambaratika kwa kumbatia west wanatafuna mafuta yako na wewe kubaki na njaa na uchawa tu Iran wana akili sio waarabu wale.Tatizo tulio huku nanjilinji tunaona hizi vita kama vile ni movie za holywood.. hawajui vita ni gharama kubwa..
hapo watu wanabeza kuwa madhara ya mashambulizi ya Israel ni madogo.. sababu wao walitaka kusikia maghorofa yamelipuliwa watu 100 wamekufa..
Fikiria technologia iliyowekezwa kwa 20 na iran kwenye Jeshi lake, nguvu na pesa aliotumia kwenye proxy zake.. kisha over a night yameharibiwa huku hizbola nao they are almost toothless
Ameplan kwa miaka mingi Amejaribu kumtingisha Israel na akapata matokeo kidg kwa mda Mfupi kisha mambo yameanza kwenda kombo sio mbaya akirudi kwenye drawing board, sasa hivi iran is weighing her options..
kwa dunia hii ya nipe nikupe au kama huna cha kunipa uwe puppet wangu Iran anaona she stands to lose a lot compared to what she will gain. Na hasa ukichukulia vita yenyewe ni kutaka kuwa dominant Middle east sio kwamba. Inahatarisha amani ya Iran
Iran wameona Hata hao kina the so called washirika mfano Urusi, China and the alike.. it just bussiness as usual.. so wanaona bora wapunguze mihemuko
Sasa hivi israel wakipigana na iran haijalish hasara kiasi gan kila mmoja atapata kiuchumi ila israel itamchukua miaka michache kurudi alipo kuliko iran.. maana israel atapata misaada almost for free kutoka kila kona ya Europe sababu ana laverage..
kwa iran hatakuwa na laverage so aidha akubali afe na tai shingon maana yake ajifungie waishi kwa shida had wasimame kitu ambacho kwa kizaz cha saaa cha dotcom atajikuta analeta unrest ndan kwake.
option ya pili akunje mkia akubali kuwa mnafiki aruhusu western waingine kumtawala kimamboleo. Maana yake apewe chance ya kufanya biashara na kupokea misaada kwa terms za Western. Anaona Urusi ambapo anatumia nguvu nyingi just to make sure they stay afloat. mpaka kuja na Brics na mengineyo. Je yeye ataweza kufanya kama alivyofanya Urusi ikitokea kawa blacklisted.
Iran anajua kuwa ukaribu wake na Urusi ni swala la Abdala kumuita Abdul.. maana Urusi hatatoa msaada bure ataweka terms zake na pia bado mrusi ataendelea kuwa mshirika wa Israel.. na hata nchi Ingine za ulaya atapiga nao biashara so.. hakuna uhusiano wowote wa iran na china, india au ulaya.. ambao iran atafaidika zaid kuliko wenzie.. they will always dictate what is best for her
So tuachane ushabiki maandaz vita bora hizo vurugu zipate suluhu mezan tu
Alichokisema PM Nitanyahu, ni sahihi kabisa. Kwa Mashariki ya kati, israel ndiye mlinzi wa mataifa ylte. Bila Israel, iran ingekuwa imeyadhibiti mataifa yote ya Mashariki ya kati.Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran destroyed ‘industrial factories of death’
In speech to opening Knesset session, PM pledges to continue making peace with Arab countries; Gallant says Iran attack caused ‘a change in the balance of power’
By Lazar Berman Follow
and Emanuel Fabian Follow
Today, 8:33 pm
Israel hit key Iranian sites hard in its airstrikes on Saturday, Prime Minister Benjamin Netanyahu said during a fiery address on Monday at the opening of the Knesset winter legislative session.
“We severely damaged Iran’s defense systems and its ability to export missiles,” Netanyahu said in a speech to the Knesset plenum. “These were not [basic tools] we were attacking. These are industrial factories of death and we struck them hard.”
Netanyahu obliquely pushed back on reports that the White House had convinced him to scale back the response to Iran’s October 1 ballistic missile attack, emphasizing that “we make decisions ourselves according to our interests and considerations.”
Seemingly responding to recent criticism that the ongoing war lacks clear strategic aims, the prime minister said Israel’s goals against Iran and its proxies are clear: “Our long-term strategy is to dismantle the axis of evil, to cut off its arms in the south and in the north, to exact a heavy price from Iran and its proxies and to prevent Iran from having nuclear weapons.”
The IDF carried out a wave of strikes against targets in Iran early Saturday morning, almost four weeks after the Islamic Republic’s massive ballistic missile barrage on the country. The operation, hitting targets some 1,600 kilometers (1,000 miles) away, was unprecedented in terms of its scale and duration, as well as Israel’s immediate acknowledgment of responsibility.
The strikes came after weeks of Israel being urged to temper its response to the Iranian ballistic missile attack on Israel on October 1, which came days after Israel killed Hassan Nasrallah, the longtime leader of Iran’s Lebanese proxy Hezbollah. Satellite imagery of Iran has shown damage to a number of military sites, though Iranian leaders have sought to downplay the effects.
This satellite photo from Planet Labs PBC shows damaged buildings at Iran’s Parchin military base outside of Tehran, Iran, October 27, 2024. The damaged structures are in the bottom right corner and bottom center of the image. (Planet Labs PBC via AP)
Netanyahu said Monday that Israel is the one obstacle keeping Iran from controlling the Middle East and threatening the rest of the world.
“The fanatical axis of evil led by Iran threatens to destroy our country and trap other countries in its net, and to threaten the West first of all. Iran is working for a stockpile of nuclear bombs and will be able to threaten the entire world whenever it wants,” he said.
According to Iran’s thinking, he argued, “if Israel falls, the entire Middle East will fall into its hands, but we will not fall. We will win and the whole world will be a better place.”
Watu hiwa mnaongea vitu ambavyo hata hamna uelewa navyo.Hao nchi za EU wako hoi kwa sasa ujerumani anafunga viwanda Vya Vya kimkakati nadhani itakuwa ni kwa Sababu ya vita ya ukrain .Vita ya Israeli na iran ikipigwa kila mtu atapamana na hali yake maana straight of harmuz hautakuwa unapitisha Ges wala mafuta EU countries zitakuwa hoi zaidi kupambana na uchumi zao hazitaweza kutoa hata sh moja kupeleka Israeli .itakuwa ni survival for the fittest . Ges na mafuta ya urus ambayo yanavikwazo eu wataanza kumpigia magoti urusi maana haitakuwa demand tena Bali ni superdemand gulf state Ambazo zitakuwa sole mtegemezi wa mafuta na Ges staanza ku scrambel. Kwa hiyo usifikiri iran Hana Cha ku offer hapo fikiria tena Masada anaopewa ni kwa kuwa chumi zao zina ridhisha hebu fikiria usa maduta yafike hata dolla 11 kwa gallon Nani ataendesha gari ulaya na usa
Ndio maandishi ya ki-madrassa hayo.Ungelala kwanza pombe iishe kichwani
Umeandika nini sasa
Labda Netanyahu wa Shului ya kule Singida.Netanyahu alisema na kuapa ataizuia Iran kumilik sila nuclear lakin nachoona .jamaa wanaharakisha zaidi irani imalizie urutubishaji ..Netanyahu lazima atajinyonga
Atafanya nini .. nacho jua iran yupo mbele ya muda na Hilo alilitambua mapema kuweka key military infrastructures deep underground .Labda Netanyahu wa Shului ya kule Singida.
Alee akina jordan na misri wanaohongwa kila mwaka 1.5b ili kulitambua taifa la Israeli na sio iran . Taifa gani mpaka hongo inatolewa ili uweze kulitambua Kama sio taifa la mchongo .Alichokisema PM Nitanyahu, ni sahihi kabisa. Kwa Mashariki ya kati, israel ndiye mlinzi wa mataifa ylte. Bila Israel, iran ingekuwa imeyadhibiti mataifa yote ya Mashariki ya kati.
NiIsrael pekee ndiyo ina uwezo wa kuitiisha adabu Iran, nayo ikaufyata.
Hivi wewe mujeebudeen, mbona hata nchi yako inalitambua taifa la Israel au hujui hilo.Alee akina jordan na misri wanaohongwa kila mwaka 1.5b ili kulitambua taifa la Israeli na sio iran . Taifa gani mpaka hongo inatolewa ili uweze kulitambua Kama sio taifa la mchongo .
Nyerere hakuwa mjinga kama wew anaujua ukweli sio kama ww akili za kukaririshwaHivi wewe mujeebudeen, mbona hata nchi yako inalitambua taifa la Israel au hujui hilo.
Atie maguu basi aoneHebu fikiria Al Qaida Al Shabaabu Isis na wenzao wanakuja Tanzania kutangaza Jihadi dhidi ya "Makafiri" ambao maana yake wasiomuamini Allah wanakuja kulipua Wakristo Atheists Wayahudi na Wapagani kwa kutumia Nuclear Bom ndogo ndogo za kuvaa mwilini watakazopewa na Ayatolah.
Nadhani ikishafikia hapo ndio utakumbuka nilichokiandika humu.