Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Lakini vikao vya ccm tu hajui waliohudhuria Hila ana information za kujua ya IsraelIla watu mna mambo, hicho kikao wewe uliyeko lindi umekijua tena umejua hadi wajumbe watakao shiriki? 🤣🤣
Bila kuondoa Utawala wa Iran Israel vita haitoisha pia na Ukraine vita haitoisha. Ndio maana Putin anamlinda AyatollahWadau hamjamboni nyote?
Israel imeamua na haipoi
Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni
Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama) kwa cheo na majina!
Waziri Mkuu: Benjamin Netanyahu, Mwenyekiti.
Waziri mambo ya nje: Israel Katz.
Waziri wa ulinzi: Yoav Gallant.
Waziri wa sheria: Yariv Levin.
Waziri wa fedha: Bezalel Smotrich.
Waziri wa Usalama wa taifa : Itamar Ben-Gvir.
Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu na uzao wao wote
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Netanyahu to convene security meeting tonight amid preparations for strike in Iran
Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene a security meeting at 8:30 p.m. at the Kirya military headquarters in Tel Aviv, the office of one of the participating ministers attending tells The Times of Israel.
The meeting comes as Israel continues to insist that it will strike back against Iran for its ballistic missile attack two weeks ago.
Inaonekana wanaosababisha dunia ikose amani ni Putin na Ayatola.Bila kuondoa Utawala wa Iran Israel vita haitoisha pia na Ukraine vita haitoisha. Ndio maana Putin anamlinda Ayatollah
Ajali kazini
Siamini kama netanyau kawa mzee wa viapo na vikao tuhWadau hamjamboni nyote?
Israel imeamua na haipoi
Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni
Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama) kwa cheo na majina!
Waziri Mkuu: Benjamin Netanyahu, Mwenyekiti.
Waziri mambo ya nje: Israel Katz.
Waziri wa ulinzi: Yoav Gallant.
Waziri wa sheria: Yariv Levin.
Waziri wa fedha: Bezalel Smotrich.
Waziri wa Usalama wa taifa : Itamar Ben-Gvir.
Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu na uzao wao wote
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Netanyahu to convene security meeting tonight amid preparations for strike in Iran
Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene a security meeting at 8:30 p.m. at the Kirya military headquarters in Tel Aviv, the office of one of the participating ministers attending tells The Times of Israel.
The meeting comes as Israel continues to insist that it will strike back against Iran for its ballistic missile attack two weeks ago.
Akisogea Iran ataenda mtafuta babu yake Poland 😄Vikao vya nini wanaacha kulianzisha!???
NakaziaKulikuwa na uzi humu kuhusu "kuuliwa" kwa Lt. Gen. Herzi Halevi CDF. Hili jambo limeshakaa sawa?
Hata kwenye orodha ya wahudhuriaji hayupoKulikuwa na uzi humu kuhusu "kuuliwa" kwa Lt. Gen. Herzi Halevi CDF. Hili jambo limeshakaa sawa?
Iran sio pakestina wao ni nchi kamili wana silaha kali za kivita km ilivyo israel ...kwa kifupi wakilianzisha kitawaka balaaTusije kusikia Pray for Iran
hatuwezi kupiga kelele kuua adui km mfanyavyo LGBT nia ilikuwa kupiga kambi yeyote angeingia kwenye mfumo shauri yake...hao jamaa wanajificha kwenye mahandaki kama panya ni ngumu kuwapata kwenye target coz waoga kama kunguru wanawaacha vijana kwenye makambi wafe peke yaoYupo hai kabisa huoni kobazi wote kimys
Kwanini usiomuombe mungu awabariki watoto wako?Wadau hamjamboni nyote?
Israel imeamua na haipoi
Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni
Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama) kwa cheo na majina!
Waziri Mkuu: Benjamin Netanyahu, Mwenyekiti.
Waziri mambo ya nje: Israel Katz.
Waziri wa ulinzi: Yoav Gallant.
Waziri wa sheria: Yariv Levin.
Waziri wa fedha: Bezalel Smotrich.
Waziri wa Usalama wa taifa : Itamar Ben-Gvir.
Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu na uzao wao wote
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Netanyahu to convene security meeting tonight amid preparations for strike in Iran
Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene a security meeting at 8:30 p.m. at the Kirya military headquarters in Tel Aviv, the office of one of the participating ministers attending tells The Times of Israel.
The meeting comes as Israel continues to insist that it will strike back against Iran for its ballistic missile attack two weeks ago.
hiyo THAAD ndo imewapa kiburi,wazayuni safari hii mtalia sana na YEHOVA kama kawasusa siku mbili hizi maana mnachezea vipigo mubasharaWadau hamjamboni nyote?