Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri usiku huu kwenye makao makuu ya jeshi Kirya, maandalizi ya kuishambulia Iran

Wadau hamjamboni nyote?

Israel imeamua na haipoi

Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni

Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama) kwa cheo na majina!

Waziri Mkuu: Benjamin Netanyahu, Mwenyekiti.
Waziri mambo ya nje: Israel Katz.
Waziri wa ulinzi: Yoav Gallant.
Waziri wa sheria: Yariv Levin.
Waziri wa fedha: Bezalel Smotrich.
Waziri wa Usalama wa taifa : Itamar Ben-Gvir.

Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu na uzao wao wote

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Netanyahu to convene security meeting tonight amid preparations for strike in Iran

Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene a security meeting at 8:30 p.m. at the Kirya military headquarters in Tel Aviv, the office of one of the participating ministers attending tells The Times of Israel.

The meeting comes as Israel continues to insist that it will strike back against Iran for its ballistic missile attack two weeks ago.
Bila kuondoa Utawala wa Iran Israel vita haitoisha pia na Ukraine vita haitoisha. Ndio maana Putin anamlinda Ayatollah
 
Inaonekana wanaosababisha dunia ikose amani ni Putin na Ayatola.

Hawa inabidi tuwajadili.
 
1000012919.png
 
Wadau hamjamboni nyote?

Israel imeamua na haipoi

Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni

Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama) kwa cheo na majina!

Waziri Mkuu: Benjamin Netanyahu, Mwenyekiti.
Waziri mambo ya nje: Israel Katz.
Waziri wa ulinzi: Yoav Gallant.
Waziri wa sheria: Yariv Levin.
Waziri wa fedha: Bezalel Smotrich.
Waziri wa Usalama wa taifa : Itamar Ben-Gvir.

Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu na uzao wao wote

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Netanyahu to convene security meeting tonight amid preparations for strike in Iran

Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene a security meeting at 8:30 p.m. at the Kirya military headquarters in Tel Aviv, the office of one of the participating ministers attending tells The Times of Israel.

The meeting comes as Israel continues to insist that it will strike back against Iran for its ballistic missile attack two weeks ago.
Siamini kama netanyau kawa mzee wa viapo na vikao tuh
Juzi tuh kikao leo tena kikao
 
Maandalizi ya kushambulia Iran hayaishi tu? Sisi Iran tunatafuta sababu ya kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia kwahiyo tunasubiri watushambulie ili tupate sababu
 
Yupo hai kabisa huoni kobazi wote kimys
hatuwezi kupiga kelele kuua adui km mfanyavyo LGBT nia ilikuwa kupiga kambi yeyote angeingia kwenye mfumo shauri yake...hao jamaa wanajificha kwenye mahandaki kama panya ni ngumu kuwapata kwenye target coz waoga kama kunguru wanawaacha vijana kwenye makambi wafe peke yao
 
Wadau hamjamboni nyote?

Israel imeamua na haipoi

Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni

Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama) kwa cheo na majina!

Waziri Mkuu: Benjamin Netanyahu, Mwenyekiti.
Waziri mambo ya nje: Israel Katz.
Waziri wa ulinzi: Yoav Gallant.
Waziri wa sheria: Yariv Levin.
Waziri wa fedha: Bezalel Smotrich.
Waziri wa Usalama wa taifa : Itamar Ben-Gvir.

Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu na uzao wao wote

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Netanyahu to convene security meeting tonight amid preparations for strike in Iran

Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene a security meeting at 8:30 p.m. at the Kirya military headquarters in Tel Aviv, the office of one of the participating ministers attending tells The Times of Israel.

The meeting comes as Israel continues to insist that it will strike back against Iran for its ballistic missile attack two weeks ago.
Kwanini usiomuombe mungu awabariki watoto wako?
 
hiyo THAAD ndo imewapa kiburi,wazayuni safari hii mtalia sana na YEHOVA kama kawasusa siku mbili hizi maana mnachezea vipigo mubashara

niwapongeze sana hezbollah kwa kugawa vipigo huku wakichukua na camera maana ile drone isingekuwa na camera wangesema hakuna madhara yoyote...pumbav zenu tumeona mkongoto wote
 
Back
Top Bottom