Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri usiku huu kwenye makao makuu ya jeshi Kirya, maandalizi ya kuishambulia Iran

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Israel imeamua na haipoi

Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni

Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama) kwa cheo na majina!

Waziri Mkuu: Benjamin Netanyahu, Mwenyekiti.
Waziri mambo ya nje: Israel Katz.
Waziri wa ulinzi: Yoav Gallant.
Waziri wa sheria: Yariv Levin.
Waziri wa fedha: Bezalel Smotrich.
Waziri wa Usalama wa taifa : Itamar Ben-Gvir.

Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu na uzao wao wote

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Netanyahu to convene security meeting tonight amid preparations for strike in Iran

Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene a security meeting at 8:30 p.m. at the Kirya military headquarters in Tel Aviv, the office of one of the participating ministers attending tells The Times of Israel.

The meeting comes as Israel continues to insist that it will strike back against Iran for its ballistic missile attack two weeks ago.
 
1728922722520.jpg

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kwamba Isramarekani Kutwa Vikao Kuhusu Iran
Kwani Iran nani hasa!

Vikao vyanini Nimtoto Anaye pewa kila Kitu Tena Bure halipii hata 10
Apige Naye Adundwe
 
Wadau hamjamboni nyote?

Israel imeamua na haipoi

Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni

Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama) kwa cheo na majina!

Waziri Mkuu: Benjamin Netanyahu, Mwenyekiti.
Waziri mambo ya nje: Israel Katz.
Waziri wa ulinzi: Yoav Gallant.
Waziri wa sheria: Yariv Levin.
Waziri wa fedha: Bezalel Smotrich.
Waziri wa Usalama wa taifa : Itamar Ben-Gvir.

Mungu wabariki watoto wote 12 wa Yakubu na uzao wao wote

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
Netanyahu to convene security meeting tonight amid preparations for strike in Iran

Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene a security meeting at 8:30 p.m. at the Kirya military headquarters in Tel Aviv, the office of one of the participating ministers attending tells The Times of Israel.

The meeting comes as Israel continues to insist that it will strike back against Iran for its ballistic missile attack two weeks ago.
uyo Yariv Levin si ameliwa kichwa jana na drone za Hizbollah wakati wanapata msosi
 
Kama jambo Hilo litafanyika,basi jua maisha yetu watu wa Africa yatakuwa magumu kupita wakati wowote ule kuwahi kutikea
 
Back
Top Bottom