Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

Wanasiasa wote wako kimaslai, hakuna atachokifanya aliyeingia Zambia na hakuna watakachokifanya wapinzani wakishika madaraka ya hii nchi.
 
Wanasiasa wote wako kimaslai, hakuna atachokifanya aliyeingia Zambia na hakuna watakachokifanya wapinzani wakishika madaraka ya hii nchi.
sasa mbona unalia ?
 
Uzi wa kutoka Lusaka lakini anashambuliwa mletaji ambaye hata hauwezi kumfikia hata nusu ya alichobarikiwa na Mungu , wewe endelea kulipwa hizo elfu 7 ujikimu
Kabarikiwa nini??

Tako kubwa au
 
Ila huyu hakuwa gaidi Kama mbowe huyu alihubiri amani tu
 
Haitawahi itokee kwa Chadema. Kwa hii hulka ya ugaidi ya viongozi wao na kuwa vibaraka wa mabeberu hakuna siku watapewa nchi.. Sahau singlemother. Hayo yote ya Chadema hayakuwa huko Zambia.
 
Haitawahi itokee kwa Chadema. Kwa hii hulka ya ugaidi ya viongozi wao na kuwa vibaraka wa mabeberu hakuna siku watapewa nchi.. Sahau singlemother. Hayo yote ya Chadema hayakuwa huko Zambia.
Wala sikukatalii , bali nashangaa unalia nini sasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…